Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau naomba tujadili hali hii. Kuna vijana wa kiume wanaokua na hisia ziro katika mambo ya mahusiano hadi inafikia muda wa kuwa na wenza wao bado hawana hata harakati zozote za kimapenzi...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
mokojo wa punda sehemu ya 1 ilikua ni asubuhi nikiwa bado nmelala kitandan kwa mbaali nashtushwa na kelele za watu huko nje wakibishana, nikaamka ili niwezejua nini kinaendelea mara nakutana na...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
There are 5 key differences between true love and toxic love in this humble author's mind. Let's dig in right here . 1. In true love,every conversation is constructive,trying to understand and...
1 Reactions
0 Replies
865 Views
Mwadila, Nimewamiss sana wapenzi wangu nimefurahia leo niko mzima wa afya na nimeamka nikiwa fiti salamu zenu pokeeni toka kwa laaziz wangu baba Ngina a.k.a Mtambuzi anawapenda sana yaani kasema...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Unafiki gheto weekend au hata weekdays kwanza....we ndo wa kwanza kunikumbusha tupeleke bill ya chips kwa Mayweather ,hapa umuhimu wako wa hata kupika siuoni . Unakuta nguo chafu ghetto we...
1 Reactions
65 Replies
6K Views
1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa. 2. Ukiingia kwake ukaona anampigia simu yule dada wa usafi anayekujaga mara moja kwa...
4 Reactions
50 Replies
10K Views
Wakuu habari zenu, Kuna tatizo linanisumbua kwa wadada linalosabisha kuumia na kukosa mwanamke wakuwa nae kuna mdada nimetokea kuvutiwa nae lakini kila nikipanga kufuata nikiona yuko na marafiki...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wasalaam JF, Hapa nilipo kuna rafiki yangu ambaye tulifahamiana kazini baada ya kuwa tunafanya kazi company moja, japo ye alifukuzwa na sasa anafanya kazi pengine. Uzuri tunaishi jirani, sasa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu.... Nilikuwa nina mpenz ambaye tulipanga kuoana hadi kufikia hatua akanipeleka kwao lkn mwisho wa cku yeye mwenyewe akasema hatutaweza kuoan hivo niendelee na maisha yangu. a Km...
0 Reactions
67 Replies
9K Views
You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So...
1 Reactions
97 Replies
8K Views
Yamenifika Happpa Naaam mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24 Mtaani kwetu kuna Bar moja maaru ambayo nyuma kuna Grosary yule muhudumu, week moja iliyopita kamleta mdogo wake wa tumbo moja kutoka...
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Kwamfano sasa Unapata mtoto ukiwa na miaka 30, mtoto baada ya miaka 6 anaanza darasa la 1, wewe una miaka 37. Anamaliza darasa la 7, wewe una miaka 44. Anamaliza kidato cha 4, wewe una miaka 48...
9 Reactions
63 Replies
9K Views
Binti mmoja (jina kapuni) mzuri wa viwango, nilimtongoza kanizungusha balaa. Kidume nikapotezea nikajua nimechezea za Uso. Baada ya wiki kupita, kanitafuta kwa Simu, akaomba tuonane ana kwa ana...
1 Reactions
54 Replies
11K Views
Ndundu wana Jamvi naombeni ushauri na busara zenu kuhusu mchumba wangu. Kwa mara ya kwanza tulifahamiana tulipokutana kazini kisha tukawa marafiki na kuendeleza urafiki kwa miaka kadhaa. Wote...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 3 ambaye babake niliachana naye nikiwa na ujauzito wa miezi mitatu. Baba mtoto hajawahi kujihusisha na chochote kuhusu mtoto na mimi huwa simuulizi kwa...
0 Reactions
177 Replies
23K Views
Napenda kumtukuza Yesu wangu jamani amenitendea makuu, nimemwomba kitu jamani akanipa double double. Nisaidieni muungane nami siku ya leo kumtukuza. Read Numbers 23:19 to comfirm what am saying...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Niaje wakuu, Kuna binti mmoja nimemfukuzia kitambo sana, hapa mtaani ni kisiki ile mbaya japo ni mcheshi anacheka na kila mtu, ni binti wa kiislamu na ni full ibada. Kila nikimuona huwa...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
...just as the title reads, answers plzzzzz
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25 niliehitim chuo mwaka jana. Natafuta mwanamke ambae yupo tayari kuoana, awe na umri wa miaka 20-30 sna ubaguzi wa rangi, dini, wala kabila, karibu sana japo...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Ingawa ni ngumu kuamini Leo ni mwaka mmoja kamili tangu ulipoondoka na kuniacha mpweke ni upweke ambao siwezi kuuelezea ingawa sikuwahi kukuona ila ulikuwa karibu yangu kama mtu tuliyejuana...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…