Msaada, nipo tayari kufa kwa penzi la bar maid

Msaada, nipo tayari kufa kwa penzi la bar maid

Singa Singa

Member
Joined
Dec 12, 2014
Posts
47
Reaction score
46
Yamenifika Happpa Naaam mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24 Mtaani kwetu kuna Bar moja maaru ambayo nyuma kuna Grosary yule muhudumu, week moja iliyopita kamleta mdogo wake wa tumbo moja kutoka nyumbani kwao (Kijijini) mimi nimteja wake maarufu ila sio mara kwa mara ninakwenda pale.

Siku ya kwanza kukutana na mdogowake pale Kaunta (Sikujua kama ni mdogo wake wa damu) sikuona shepu yake kisura tu nikasema yes hapa nimefika! ile siku nakumbuka ilikuwa Jumapili nilikuwa na marafikizangu kama wa 2 hivi tulikunywa pombe tukafurahi ila yeye alisema hatumii kilevi chochote.

Nikamtongoza Akanikubalia akanipa mawasiliano yake Tukaanziasha Mahusiano Ambapo Mpaka sasa yana Week Mbili kimwili ni zaidi ya Mara Mbili (2) nilikuwa namchukua nampeleka Guest (Manake mimi nakaa nyumbani) tulipanga mengi nikapanga Mwaka haumalizi nitapanga na kumueka ndani kwani ki umri bado nimdogo 18yrs ila kajaaliwa umbo siku zikapita sekeseke likaanza jana nilikuwa nampigia simu tangu Ahsubuhi haipatikani nikajaribu tena Mchana hadi Usiku bdo akawa haipatikani ikabidi nimtimbie kazin kwake ile kufika nikamkuta Kaunta nikamsalimia akaitikia lakini sio kama sikuzote mana ninakawaida ya akiniona anazuzuka anafurahi mpaka wateja wanajiuliza kulikoni ila kwasiku ya jana ilikuwa tofauti nikakaa na kujifikiria kulikoni mbona hivi nikatoka nje ya grosary nikaenda dukani nikatoa ela nikaudumiwa nikawasha nikawa natolea Moshi puani uku nikiwa na mawazo kibao,ikabidi nimsubiri mpaka afunge Grosary gate linaangaliana na Gest anayolala na wafanyakazi wngine hakuniaga wala kugeuka nyuma nikapiga Cm haipatikani nikaenda kulala japo kwa kwatabu sna ahsubuhi nikaenda oficn kwake nika kuta imefungwa nikakaa nikamwona anatoka akaenda dukani sikutaka kumfuata kutokana na mazingira ya pale yalikuwa hayaniruhusu ila nilimwita hakuitika wala kujeuka

nikaenda kazini nikawai kurudi saa2 ucku nikaenda kumuambia Bro wangu mbele ya mkwewe kuhusu yule binti kwani nimarayangu yakwanza kuongea naye kuhusu mahusiano yangu akasema hamfahamu uyo binti nikamwelekeza akasema ataenda kuongea naye

Nitaendelea.....
 
miaka 34 unakaa nyumbani, ama kwa hakika
 
Nina mengi ya kuuliza kuhusu huyu bro lkn ngoja ajibu kwanza hilo la umri
 
hahaha eti utaendelea,jinga sana wewe toto ebu hama hapo nyumbani.
 
Kwa hiyo unamuoa kwa sababu umegundua kuwa ana shepu nzuri. Wanawake huwa wana badilika esp wakisha zaa. Hapo ukaoa mwingine mwenye shepu nzuri???!
 
Yamenifika Happpa Naaam Mm nikijana mwenye Umri wa miaka 34 Mtaani kwetu kuna Bar moja maaru ambayo Nyuma kuna Grosary yule muudumu week moja iliyopita kamleta mdogo wake wa tumbo moja kutoka Nyumbani kwao(Kijijini) mm nimteja wake maarufu ila sio mara kwa mara ninakwenda pale.....Siku yakwanza kukutana na Mdogowake pale Kaunta(Sikujua kama ni mdogo wake wa Damu) sikuona shepu yake kisura tu nikasema Yes hapa nimefika!!! ile siku nakumbuka ilikuwa Jumapili nilikuwa na marafikizangu kama wa 2 hivi tulikunywa pombe tukafurahi ila yeye alisema hatumii kilevi chochote....Nikamtongoza Akanikubalia akanipa mawasiliano yake Tukaanziasha Mahusiano Amabpo Mpaka sasa yana Week Mbili kimwili ni zaidi ya Mara Mbili(2) nilikuwa namchukua nampeleka Guest (Manake mimi nakaa Nyumbani) tulipanga mengi nikaapa Mwaka haumalizi nitapanga na kumueka ndani kwani ki umri bado nimdogo 18yrs ila kajaaliwa umbo....nitaendelea

----- wewe 34yrs kulakulala sikushauri chochote
 
Miaka 34 unakaa home...ununulia watu bia, kwanza acha pombe kaa tafakari kisha ondoka home tafuta life then muoe huyo binti 18sio mtoto...
 
Singa Singa msaada gani unataka?..wa kukusaidia kufa ama?
 
Last edited by a moderator:
34years unakula ugali wa shkamoo, dah Kweli jinsia ya kiume inapotea tembo wetu walivopotea
 
sa hapa kifo kinatokea wap? af acha kushusha heshima angekua bank teller ungesema niko tayr kufa kwa penz la bank teller??
 
Back
Top Bottom