Amekupa kitu gani sasa? Na hicho kifungu/mstari ulichotuambia tusome ungekiweka hapa kabisa, ingekuwa poa sana. Wengine tulishasahau hata vitabu vya dini vinasomwaje.
Hahaha. Mbona niko poa tu. Mi huwa naongea na the main Man himself directly. Sitaki middle-man.Mpendwa inabidi ukaombewe
Amekupa kitu gani sasa? Na hicho kifungu/mstari ulichotuambia tusome ungekiweka hapa kabisa, ingekuwa poa sana. Wengine tulishasahau hata vitabu vya dini vinasomwaje.
hahaha jamani cungu cha bibi kitu gani kimekushtua???
Napenda kumtukuza Yesu wangu jamani amenitendea makuu, nimemwomba kitu jamani akanipa double double.
Nisaidieni muungane nami siku ya leo kumtukuza.
Read Numbers 23:19 to comfirm what am saying.
I love you Jesus and am not afraid to say it.