Send off kwa upande wenu ikoje?

Send off kwa upande wenu ikoje?

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
Habari ya hapa wandugu,

Sijabahatika kupata mialko mingi ya sherehe za send off lakini kwa makabila haya niliyotembelea acha niseme yao juu ya zawadi.

Zawadi zote binti atakazopewa ni mali yake isipokuwa PESA. Hata kama wamepata pesa taslim sh 1miln yote inabaki kwa muandaaji wa sherehe (nyumbani). Ndo maana wageni wanajitahidi anunue kitu. Na waozaji wanakuwa wanaweka nguvu kwenye kuchangisha pesa.

Hii ipo kwa wasukuma, Waha, Wazinza,Warongo. Hawa aanapatikana Shinyanga, Tabora, Geita na Baash ya maeneo Muleba.

Je, hali ikoje kwako kuhusu zawadi?
 
Zawad za pesa anachukua nan
 
Back
Top Bottom