Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Haya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu.. Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo Nilijua kwamba anaweza kuwa na...
18 Reactions
163 Replies
5K Views
Akina Flora wengi wanakuwaga wapiganaji sana kwenye maisha. Wengi wanakuwaga smart sana kwenye mapambano ya maisha. Na wengi wao huwa wanafanikiwa sana kiuchumi. Sijawahi kumfahamu mwanamke...
11 Reactions
69 Replies
5K Views
Yakiwa yamebakia masaa machache huu mwaka 2023 tu u-dump kule. Ukweli lazima usemwe hapa kuhusu hawa mademu wa kaskazini wanaojiita pisi kali jambo ambalo sio la kweli na halitambuliki Kama...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Aah
14 Reactions
144 Replies
8K Views
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
58 Reactions
168 Replies
10K Views
Nini hasa ilikua sababu ya msingi hata ukaachwa na mpenzi wako na mlikua mnapendana sana? Umejifunza nini kwenye mahusiano yako mapya dhidi ya ulikopigwa chini na kinaimarisha uaminifu na upendo...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka. Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online. Nifanyaje...
26 Reactions
157 Replies
8K Views
Habari za jioni. Mimi ni mama mtu mzima nina watoto 4 kwa mume wangu wa ndoa kabisa. Niende kwenye mada. Miaka 10 iliyopita nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume (my first born). Sikuamini...
72 Reactions
574 Replies
46K Views
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 maisha yalikuwa yakienda vizuri kwa dada aliyejulikana kama Ani Hindocha, mwenye asili ya India ambaye alizaliwa na kulelewa nchini Sweden. Akiwa amemaliza shahada ya...
14 Reactions
28 Replies
3K Views
Wasalaam wapendwa. Kuna page kama mbili hivi za kupitia instagram nilianza kuzipitia wiki kama moja hivi iliyopita mpaka siku leo. Sasaivi nna 30 years age ila nimejikuta nafsi inaniambia kwa...
12 Reactions
63 Replies
3K Views
Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo...
112 Reactions
529 Replies
42K Views
Ebu wababa tujishushe kwenye familia zetu ili kuwalinda watoto wetu na ulevi wa kupindukia nalo ni tatizo kwa wababa wengi kukesha bar, pamoja wengi wao ni kukosa amani kwa wake za. Na nyie dada...
7 Reactions
63 Replies
4K Views
Wakuu Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya,nimegundua wanaume kutoka hii mikoa ni wambea sana hasa maofisini. 1.Dar es salaam 2.Pwani 3.Morogoro 4.Iringa 5.Mbeya 6.Mtwara 7.Lindi 8.Tanga...
12 Reactions
57 Replies
2K Views
Je wanawake wamewahi kukuaibisha kwenye mazingira Gani [emoji23][emoji23] coz tunajua ni watu wa kutumia hisia sana RAIS Macron wa Ufaransa amenaswa kwenye Video inayotrend Mtandaoni akisukumwa...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Eti wakuu Kuna ukweli kwamba mwanamke akikupenda sana wewe mwanaume basi lazima atakuzalia watoto wanaofanana na wewe copyright?
4 Reactions
14 Replies
785 Views
Unaambiwa Mpenzi wako nae ana wapenzi wake😅😅 Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kuwa na watu wenye wapenzi zaidi ya wawili. Wastani wa kila mkazi wa Dar es Salaam ana mahusiano...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Hata dada zetu walioko kwenye Jeshi la Polisi wanahitaji kupendwa, kudeka, kuolewa na kuanzisha familia kama wanawake wengine. wale mlio wahi kudate ama kuwa kwenye ndoa na dada zetu walio kwenye...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Sikiliza dogo, hakuna mahusiano ya bure kwa mwanaume. Mapenzi yanagharimu muda, nguvu na hela, na hautarudishiwa chochote pale mahusiano yatakapofika tamati. Mapenzi yakiisha hautarudishiwa...
19 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari zenu Kuna mchepuko wangu ni mke wa mtu,sasa kazini kwao weekend hii wanatakiwa kwenda training somewhere huko arusha ila yeye kaniambia hatoenda huko kwenye hiyo training instead kaniambia...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu Chemistry ya wanawake inanishangaza sana. Well saivi me ni jobless tu niko kitaa naunga unga maisha baada ya kuzinguana na aliyekua mwajiri wangu. Sasa jana mtaani kwetu sikujua kama...
33 Reactions
89 Replies
4K Views
Back
Top Bottom