Katika kitu nacho kishuhudia ni wanawake wengi kuishi kwakuwa tegemezi hata mchepuko unakaa ukilutegemea kumtatulia matatizo yake wakati wewe ni one night stand na hata akijua una mtu hata kama anakazi!
Ukifatilia maandiko au ukiwa kama ulishapita na wengi wengi utakua umewasoma ni watu wa namna gani na utaishi nao kwa akili tu,ukishindwa kabisa baki peke yako,maana hutakutana na hao watu walio kamili kama tulivyo vidume
Vidume ndo mpo kamili???