Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huu wimbo unakamata wazee na vijana!, haujalishi ni mtoto wa alfu mbili ama alfu tatu!. Milindimo yake haichoshi, sauti za waimbaji wake wameitenda ile kazi ya fasihi!. Sasa kama huyo mpenzi wako...
6 Reactions
12 Replies
760 Views
Kwanini watu wanapinga ushoga kwa nguvu lakini wanashabikia 'tigo' za wanawake? (Mimi si mteja wa 'tigo' wala ushoga). Karibuni tujadili.
5 Reactions
69 Replies
15K Views
Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa, unaweza kulala mwili tu lakini akili na moyo zikakesha zikitafuta utulivu na usipatikane Unaweza kuongea pekee yako na...
12 Reactions
57 Replies
2K Views
Habari zenu Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
1. Hasira za mara kwa mara Mtu ambaye hajafanya mapenzi kwa mda mrefu upatwa na hasira kwa uharaka hata katika mambo madogo hata yasiyo na maana yeye huyatilia maanani. 2. Kuumwa kichwa mara kwa...
9 Reactions
110 Replies
43K Views
wakuu kila sehemu ninayofika mademu wanachanganyikiwa hasa wale warembo sana yani unakuta kama nimeenda sehemu kupata huduma mademu wote wahilo eneo wanaojihisi niwarembo hasa wanajipitisha...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto...
21 Reactions
66 Replies
4K Views
Mume anaoa ili atimiziwe haja za ngono na huduma nyingine za msingi za nyumbani ikiwemo kupikiwa chakula, kufuliwa nguo, kutandikiwa kitanda. Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna mzee mganga wa kienyeji,ana wake wanne wote ni chini ya umri wa miaka 40,wote anawahudumia vizuri tu,kila mwaka mmoja wao anakuwa na mtoto. Mwanzo nilikuwa nadhani ukiwa na umri...
5 Reactions
9 Replies
461 Views
Miaka ya nyuma nilikuwa na msichana wangu mweupe(ugonjwa wangu aisee) Ni msichana ambae nilimpenda sana kwa sababu wenge la mapenzi ndo alinitoa yeye.In short nae alikuwa mzuri sana(according to...
121 Reactions
217 Replies
34K Views
Mapenzi kuvunjika ni sehemu ya kawaida kabisa kwa maisha ya sasa lakini kuna jambo la kuzingatia hapa. Mapenzi huwa yanauma sana pale ambapo mwenza wako anaondoka anakuacha ghafla ukiwa mpweke...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Audio: Chanzo: Nilimsajilia line kwa jina langu, sasa nimegundua ananificha mwanaume mwingine... je, msamaha wake ni wa kweli? Mwili wa Uzi: Naomba msaada wa mawazo ya kweli kutoka kwa watu...
0 Reactions
12 Replies
844 Views
Habari Wakuu Binafsi nimejikuta nikiingia na mahusiano na mke wa mtu lakini ilikuaje? Nilijikuta ninampenda binti mmoja kwa mara ya kwanza nilivyomuona nikamwiita na nikaongea nae na akanipa...
42 Reactions
165 Replies
24K Views
Taharuki Imetanda huko HomaBay Baada ya Mwanaume kubomoa nyumba aliyowajengea wakwe zake baada ya binti yao kumtaliki na kuolewa na mwanaume mwingine baada ya ndoa yao ya miaka tisa." Homa Bay ni...
29 Reactions
127 Replies
5K Views
Hivi kweli hii inaingia akilini, Jinsi wanawake walivyo warembo, wanavutia, ni Raha kuwa nao karibu.. Lakini licha ya wanawake kuwa warembo na wanaovutia sana, imekuaje sisi wanaume tukaamua...
10 Reactions
148 Replies
5K Views
Natumai wote humu mu wazima wa afya [emoji41]. Leo ni siku weekend kama mnavojua siwe wengne hapa jamii forum ndo kijiweni pa kubadilishana story mbali mbali tukiwa tumejipumzisha ndani na...
12 Reactions
40 Replies
5K Views
Kaka nilikutana na huyu mwanamke akiwa amepigika nikamzoa Hadi Akawa mtu katika watu, alikuwa anatembeza soksi na nguo za nd0ani mtaa Kwa mtaa amepauka miguu ndara zimekatika. Nilimpa Msaada...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Siku kadhaa nyuma nilileta uzi unaoelezea jinsi msichana wangu wa kazi anavyonifanyia vituko. Baada ya Yule binti kulewa na kulala kwenye kochi, nikampeleka chumbani kwake nikamlaza kitandani...
13 Reactions
114 Replies
13K Views
Epuka haya mambo matatu ambayo ni machukizo masikioni na mioyoni mwa wasichana wa kisasa; 1. DNA test 2. Virginity 3. Accountability Usitafute ugomvi usio na ulazima. Ni mimi baba yako. Consigiere
2 Reactions
3 Replies
315 Views
Shikamooni wakubwa wote Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara JF imevamiwaa ,mara nini sijui, Sasa swali langu ni hil Kwani fesibuku na JF upi mtandao mkubwa,na...
9 Reactions
163 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…