Mwishoni nimekutag, hii ni kuonyesha kuwa nimetambua mchango wako kwangu hapa Jamii forum.
Sina mengi ya kuelezea lakini naamini kuwa hii ni zawadi na pia ni kama kumbukizi kwako.
Fanton Mahal...
Yaani huyu jamaa ana roho ngumu sana kaamua kuchanganya wote maana mdogo mtu ni mzuri kuliko dada mtu ila kinachoniuma mdogo mtu bado anasoma na kingine zaidi najiuliza endapo kwa bahati mbaya...
Sijui hata nianzaje ila huu mtindo kwa utafiti niliyoufanya naona unaota mizizi kwenye jamii yetu.
Hii si sahihi hata kidogo mdada umeolewa lakini kila Weekend upo kwenu kwa mama kupiga umbea na...
Nimejaribu kuwaza sana, baada ya kuwa na watoto kadhaa kwa hizi pisi kali zangu.
Nikaona njia ya kuwaweka pamoja leo na kesho ni kuwashirikisha katika kutekeleza mawazo yangu kibiashara, ili wao...
Kevin Durant ana utajiri wa dola milioni 200 na anakaribia miaka40, hana mke, hana watoto, hana rafiki wa kike, hana mswaki, hana cream. Ni yeye na Mama yake tu na mpira wa kikapu..
Mwana hata...
Ni kule kwenye ile wilaya ya mkonze,ni miaka mingi sana imepita,kipindi hicho nipo kidato cha kwanza.Nikakutana na huyu mrembo,alikuwa kapanga nyumba moja jirani sana na kwetu,alikuwa akiishi na...
Ni miaka 5 iliyopita jijini dar,nilikuwa na mchepuko wangu ambae tuliishi kwenye mapenzi miaka 4.Nikaenda kumtembelea alinipokea vizuri sana na nilikaa kwake hapo mwezi mzima.Na tulijadiliana...
NILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe
kimoja nikakuta vijana wamekaa wanaorodhesha kwenye daftari idadi ya mabinti
ambao wamekutana nao kimwili kwa mwaka...
Mimi binafsi nilianza kufanya mapenzi mwaka 2014, japo mwaka 2012 nilipata demu mmoja alinipenda sana na alikuwa bikira nikashindwa kumla kwa sababu nilikuwa sijui namna ya kuondoa bikira. Binafsi...
Nimezaliwa Mbeya maeneo ya Kabwe miongo kadhaa iliyopita, nilibahatika kupata elimu yangu ya msingi na kisha sekondari hapo hapo mjini. Nilipomaliza sekondari (form 4), sikufaulu hivyo ikabidi...
Sio ushuani, sio uswahilini, kila kijana anacheza namba yake. Inasikitisha sana!
Unakuta binti mdogo wa miaka kama 20 hivi analea jibaba la miaka 45 mpaka unabaki unajiuliza hili jibaba lenye...
Hakuna raha kama mwanamke kujisitiri. Kujiheshimu na kujali ndoa yako. Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Bidada kaolewa lakini simu yake haiishi meseji za wasap...
Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendana nae sana, sijawahi...
Miaka kadhaa huko nyuma nikiwa chuo mkoa flan jiran yetu kulikuwa na Chuo cha Tpsc(wanaita Uhazil enzi hizo)
Walikuwa kila term wanaletwa wapya(wakawa wanaita kontena imemwaga) Basi wakija wapya...
Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana...
Wadau habari za muda
Mimi Sina mengi ya kusekma hapa lakini kuna ili moja naombeni ushauri wenu.
Kiukweli Mimi nimekuwa muanga wa kuwapenda wamama watu wazima na hili ni kwasababu nilianza...
Wacha nikupe dondoo kidogo kwasisi tuliofuzu hii kozi yakudate wamama watu wazima tunavyofauru changamoto zao.
Ukitaka kufaidi mtu mzima usitembee na ambaye bado anamume, chukuwa mjane ama ambaye...
Jana hapa mtaani kwetu tumemzika mmama mmoja mwenye miaka 35 baada ya kujaribu kutoa mimba.
Ni hivi huyu mama alikuwa na mme wake ambaye ni raia wa uganda sasa mme wa huyo dada akaondoka...
Nakumbuka mwakajuzi nilitoka na kwenda karume kutafuta nguo za mtumba hasa zile zinazobana kama taiti pamoja na vijisketi vifupi.
Hii ilikuwa ni miezi kama mitano baada ya mimi kuachwa na mume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.