Siku hizi nimekuwa nikiwaona baadhi ya akina Baba ambao binafsi nawaita wa ' hovyo hovyo ' wakija na Mabinti zao tena wakubwa tu Madukani na hasa katika Supermarkets mbalimbali na kuwanunulia '...
Bwana Yesu asifiwe wana JF,
Vijana/mabinti wengi sikuhizi wameingiwa na tabia ya kutumia midomo katika kufanya mapenzi badala ya kutumia viungo halisi, wakidhani ni njia ya kichocheo au ndo...
Toka nakua nasikia bible imeainisha kuishi na wanawake kwa akili.... Lakini kila kukicha vilio kwa wanaume.
Ni vp jinsi ya kuishi nao kwa akili. Na mbona wanaume wengi wanachemka hapa...
14th October 2007
Dar es salaam, Tanzania
Haikuwa ligi ya mbuzi au bata ili uuone ni mpira wa nguvu kama ule wa ujerumani. Ila ilikuwa ni mechi ambayo bila vigingi, upaja na basi nguvu huna...
Juzi nilikutana na rafiki yangu Alishakuwa mlevi Mbaya ,Mvuta Sigara ,Yaani Dakika 1 tu ndani ya gali hewa ikachafuka ,Picha ikanijia je mke wake anajisikiaje Kwa kweli Leo acha niwape pongezi...
Miezi kadhaa nilipost hapa nikitafuta mchumba wa kuoa
Nikapata kama wadada wawili,ktk kuchuja kwangu nikampenda mwenye rangi nyeupe maana mwingine ni black,
Tumechat whatsapp kwa miez sasa bila...
Habarini marafiki,
Naomba mwenye makala nzuri yenye ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake ama inayozungumzia suala la mahusiano kwa ujumla anitumie tafadhari.
Asante
Habari wadau,
Nimejitokeza kwenu kuomba ushauri katika jambo hili linalonikwaza. Nimeingia katika Mahusiano na binti ambae alikuwa na mtu wake wa awali ambae walipanga kuja kufunga ndoa baadae...
Wakati mwingine ni bora kua huru kuliko sijui mko tayari kuishi kwa shida na raha wakati kiuhalisia hakuna alie tayari kuishi kwa shida tabu na mateso.
Mahari inatosha akizingua anarudi kwao tu...
Mimi ni mdada, miaka 30 nashukuru Mungu nimeajiriwa serikalini, si mrefu simfupi maji ya kunde . Nina tatizo la uzazi
Natafuta mume mwenye sifa zifwatazo.
_tatizo. La uzazi,
_Umri 30 _40...
Eti wadau hii imekaaje? Mpenzi wangu amenipiga katazo kwamba asisikie nimeuita mdogo wake kwangu kunitembelea.
Mimi nmemshangaa as huyo mdogo wake (WAKIKE) tangu aje mjini hajawahi nitembelea ata...
Wakuu poleni na kazi,
Ni muda kidogo nilipotea kwenye jukwaa hili kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu kutokana na fataki ilokuwa mbele yangu kwa takribani muda wa wiki 3.
Sasa wakuu ktk...
Natumai nyote ni Wazima na tumeianza tena wiki mpya kama kawaida tukiwa ' tunatiririka ' kama siyo tuna ' taradadi ' humu JF kwa raha zetu.
Leo naomba tu jibu lenu kati ya hizi sababu kadhaa...
Ni majira ya usiku wa manane uliotawaliwa na giza totoro ktk kila kona ya kijiji cha Matwebe kilichopo wilayani Rungwe mkoani Mbeya.Ndege aina ya bundi wanaohusishwa na imani za ulozi hapa nchini...
Sisi sio mahandsome kiivyo,wala hatuna roho nzuri kiivyo,na kazi zetu nyingi ni za kuajiriwa hvyo hatuna pesa kama ndugu zetu wachaga ambao wengi wao ni wafanyabiashara,inasemekana pia we are not...
Habarini za leo wana Jukwaa hili. nipo hapa leo munishauri ndugu zangu, mimi ni mdada wa miaka 33 niliolewaga zamani ila ndoa ikaota mabawa miaka 6 iliopita. lakini pamoja na hayo bado nina hamu...
Katika maisha yangu sijawahi kuwaza kuwa eti mwanamke azae na mimi kwa sababu tu ya rangi yangu. Hii ni kali ya mwaka, dada zangu kuweni serious life is not about physique appearance.
Huyu dada...