eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Wakati mwingine ni bora kua huru kuliko sijui mko tayari kuishi kwa shida na raha wakati kiuhalisia hakuna alie tayari kuishi kwa shida tabu na mateso.
Mahari inatosha akizingua anarudi kwao tu na mimi natafuta kifaa kingine na yeye anaendelea na hamsini zake.
Hii mambo tutaishi kwa raha na shida wakati ikifika wakati wa shida wengi tunakimbiana ni upuuzi tu.
Sijui hata ni wapi Mungu alisema tuishi kwa shida na raha. Hivi wakati Adamu anakabidhiwa Eva au Hawa ilikuaje kwani?
Hakuna ambae yupo tayari kuishi kwenye shida tukichokana we tembea tu mahari yangu nitaisamehe wala sidai.