GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,617
- 128,007
Natumai nyote ni Wazima na tumeianza tena wiki mpya kama kawaida tukiwa ' tunatiririka ' kama siyo tuna ' taradadi ' humu JF kwa raha zetu.
Leo naomba tu jibu lenu kati ya hizi sababu kadhaa nitakazoziweka hapa ni ipi ambayo ndiyo inaweza kubeba asilimia ( % ) kubwa katika kupelekea ama ' Mahusiano ' au ' Ndoa ' kuvunjika kama siyo kusambaratika?
Akhsanteni na karibuni.

- ' Uchumi ' kuyumba hasa kutoka kwa Mwanaume.
- ' Gubu ' kutoka pande moja ya mwenza.
- Msukumo kutoka kwa ' Mama Mkwe ' na akina ' Wifi '.
- Mmoja wapo kuzidiwa ' Elimu ' na mwenza wake hivyo ' kudharauliwa '.
- Mmoja wa mwenza kuendekeza kusikiliza ' umbea ' na maneno ya ' Wafitini '.
- ' Uchafu / Ulevi ' wa kila namna na ' uliotukuka ' kutoka kwa mmoja wa mwenza.
- Kutokuwa ' mtundu ' na ' fundi ' wa ' kubandua ' au ' kubanduka ' kunako Kitandani.
Akhsanteni na karibuni.