Ishini nao kwa akili

Ishini nao kwa akili

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Toka nakua nasikia bible imeainisha kuishi na wanawake kwa akili.... Lakini kila kukicha vilio kwa wanaume.

Ni vp jinsi ya kuishi nao kwa akili. Na mbona wanaume wengi wanachemka hapa....

Wajuzi wa mambo karibuni tujuzane kusaidiana kwa hili... Vilio vimezidi.
 
[emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160]
 
[emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160]
Mpiga era lugha yako ya picha... Fafanua kidogo....
 
Toka nakua nasikia bible imeainisha kuishi na wanawake kwa akili.... Lakini kila kukicha vilio kwa wanaume.

Ni vp jinsi ya kuishi nao kwa akili. Na mbona wanaume wengi wanachemka hapa....

Wajuzi wa mambo karibuni tujuzane kusaidiana kwa hili... Vilio vimezidi.
Ninaamini Nina akili lakini hapo nilichemka mpaka nikapiga
 
Wateule wanaeza ilo, kuish nao kwa akil maana s unapakumbuka pale Yesu anasema waleo walio wangu wasikiapo saut yang watetemeka!... Ivo kuna uzao wake na uzao wa nyoka kama kaini.
 
Uzao wake utaish nao kwa akili! Lakn ukienda tofaut na ivo bas mashaka!.
 
Nyie ni viumbe hatari sana.... Huwa siwamalizi nikiwatizama.. Mpaka sasa tumeamua kumuachia Mungu na kamsemo ketu "MUNGU ANAWAONA"
Wanawake wanatokana na ubavu wa mwanaume, hakuna ubavu hata mmoja ulonyooka hivyo wote wamepinda akili soma mhubiri 7:28 utapata majibu
 
Back
Top Bottom