Oral sex is stupidness, foolishness, and sinfulness

Oral sex is stupidness, foolishness, and sinfulness

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,100
Bwana Yesu asifiwe wana JF,

Vijana/mabinti wengi sikuhizi wameingiwa na tabia ya kutumia midomo katika kufanya mapenzi badala ya kutumia viungo halisi, wakidhani ni njia ya kichocheo au ndo kufurahishana.

Nataka niwaambie hiyo tabia si sahihi kabsa na ni uchafu na ni makosa hata mbele za Mungu.

Iyo ni chafu mojawapo zilizotajwa katika UFUNUO 16:13--16, kazi kubwa ya roho hiyo mnyama ni kubadili mfumo halisi wa kitu na kuwa sii halisi, au kubadili matumizi sahihi ya kitu na kuwa sii sahihi kama ilivyoandikwa katika WARUMI 1:26-27.

MUNGU AWASAIDIE vijana/wadada kuachana na hayo mazoea, mkaangalie njia zingine na Mungu aliye Mwaminifu atawasaidia.

Kama hauwezi kuacha nicheki kwa 0788599211, 0623328088 kwa ajili ya maombezi.
 
Bwana Yesu asifiwe wana Jf:

Vijana/mabinti wengi ckuiz wameingiwa na tabia ya kutumia midomo ktk kufanya mapenzi badala ya kutumia viungo halisi, wakidhani ni njia ya kichocheo au ndo kufurahishana.

Nataka niwaambie iyo tabia c sahihi kabsa na ni Uchafu na ni makosa hata mbele za Mungu.

Iyo ni chafu mojawapo zilizotajwa ktk UFUNUO 16:13--16 . kazi kubwa ya roho iyo mnyama ni kubadili mfumo halisi WA kitu na kuwa Si halisi, au kubadili matumizi sahihi ya kitu na kuwa Si sahihi km ilivyoandikwa ktk WARUMI 1:26-27.

MUNGU AWASAIDIE vijana/wadada kuachana na hayo mazoea, mkaangalie njia zingne na Mungu alye Mwaminifu atawasaidia.

Kama hauwezi kuacha nicheki kwa 0788599211, 0623328088 kwa ajili ya maombezi.
Shida ya utandawazi. Na hasa vyuoni ndiko kunakoharibu watoto. Wazazi tunasema sana, tunaonya, hivi vyuo sivipendi ni hiyo basi tu hatuna pa kuwapeleka!
 
Duh... sawa Mchungaji.. Ila ungeweka na bei kabisa ya huduma wangejitokeza wengi.
 
mkuu una fujo ajabu...mida hii wale watumiaji wa majini joto na maziwa mgando nimepishana nao walikuwa wanaenda kuokota mawe...kaa hapo hapo uone kifuatacho itv
 
Pastor upo too general than realistic....
Japo vijana wengi wameathiriwa na matokeo ya kuiga mambo yanayofanywa na porngraphy movies....
Ila ulipaswa kueleza namna sahihi ya kufanya au kutumia viungo hivyo....

Huku kunukuu kifungu kimoja cha maandiko na kukibeba kama kilivyo ndio kina sababisha ndoa za BAADHI ya hao washika dini hazidumu....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kufanya oral sex ni dhambi hata kwa wanandoa. Kinachokatazwa ni oral sex.
Achaaaaaaa
imeandikwa wapi??? Ni katazo kwa wanandoa?? Kama ndio hicho kifungu cha ufunuo .....hata mkono hauja umbwa kwa ajili ya kushika nyet ya mwenzako....

Kwa hiyo hata kushika pia ni dhambi....

Usipo fanya hivyo bwana illovo jiandae mkeo kuchepuka kwenda kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom