Pongezi kwa dada zetu na mama zetu pia

Pongezi kwa dada zetu na mama zetu pia

Uyui HB

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
553
Reaction score
512
Juzi nilikutana na rafiki yangu Alishakuwa mlevi Mbaya ,Mvuta Sigara ,Yaani Dakika 1 tu ndani ya gali hewa ikachafuka ,Picha ikanijia je mke wake anajisikiaje Kwa kweli Leo acha niwape pongezi Wanawake ni viumbe Wavumilivu kuliko kama unalala na huyu mtukalewa Harufu mbaya ya sigara duuuu Nawapongeza.

Yaani ana kiss,Na Kunyonya mate jamani inahitaji kipaji cha Upendo,Nawaombe kwa mungu hiyo roho iwe nanyi milele yaani unaweza hama mpaka chumba hapo lazima wote Mlewe ndo kubalance,,ila kama wewe hujalewa Aisee ni Kero tena kubwa,,Kama je ukikutana na hivyo ananuka gongo.

Au konyagi Au roba unafanyaje maana jamaa aliharibu harufu ndani ya gari gafla tu mpaka mtu akafupisha safari kwanzaa
 
Juzi nilikutana na rafiki yangu Alishakuwa mlevi Mbaya ,Mvuta Sigara ,Yaani Dakika 1 tu ndani ya gali hewa ikachafuka ,Picha ikanijia je mke wake anajisikiaje Kwa kweli Leo acha niwape pongezi Wanawake ni viumbe Wavumilivu kuliko kama unalala na huyu MTU kalewa Harufu mbaya ya sigara duuuu Nawapongeza ,Yaani ana kiss,Na Kunyonya mate jamani inahitaji kipaji cha Upendo,Nawaombe kwa mungu hiyo roho iwe nanyi milele ,,Yaani unaweza hama mpaka chumba ,,Hapo lazima wote Mlewe ndo kubalance,,ila kama wewe hujalewa Aisee ni Kero tena kubwa,,Kama je Ukikutana na hivyo Ananuka Gongo ,,Au Konyagi Au Roba unafanyaje maana jamaa aliharibu harufu ndani ya Gari gafla tu,,mpaka mtu akafupisha safari kwanzaa
Viumbe adimu !!
 
Yaan sisi ni wavumilivu sana tunavumilia mengi asante sana kwa kuliona wanaume wachache sana wanaoliona hilo ubarikiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom