Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani. asa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3 na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa...
3 Reactions
219 Replies
37K Views
Wakuu niende kwenye mada. Ninaishi na mashemeji zangu na mama mkwe wangu, wote wapo kwangu tunaishi kwa furaha kabisa na aman Mwez ulioisha alikuja shemeji yangu mwingine kwa lengo LA kutafutiwa...
18 Reactions
127 Replies
13K Views
Habari wana JF nina tafiki yangu mmoja hivi ambaye tunaaminiana sana ana mchumba wake ambaye wanapendana sana sasa chakushangaza leo amenipigia simu na kuniambia kuwa mchumba wake anakuja mkoani...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
hili ni tukio ambalo kiasi flani lilinishtua sana sababu wahusika nawafaham vizuri.mwanaume ni jamaa yangu na hivyo mkewe ni shemeji yangu.wao wamefanikiwa mpaka sasa kupata watoto wawili mmoja wa...
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Aina za mabinti na tabia zao kulingana na maumbile ya miili yao Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao: 1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa...
2 Reactions
36 Replies
13K Views
Mchumba wangu amelala na Mtu na Mama yake, je atabadilika? Niko kwenye mahusiano na huyu kaka, huu ni mwaka wa pili. Kabla ya kukutana naye, alikuwa ameshaoa, lakini alikuja kuachana na mke wake...
12 Reactions
68 Replies
5K Views
Mie sio mtu wa kuandika sana humu. Natafuta mke wa kuoa,now kwangu Mimi ni muda mwafaka wa kuwa na wife. Sina sababu ya ku hide my id , coz Niko serious na hili jambo Sifa zangu. Miaka 30...
0 Reactions
9 Replies
866 Views
1. Papara Wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba...
13 Reactions
75 Replies
15K Views
Awe mweupe,ana shepu mrefu na awe na kipato cha kujitegemea *awe anapatikana ndani ya mkoa wa shinyanga hasa kahama *aliyetayari ani pm npo serious
0 Reactions
2 Replies
341 Views
Mama mkwe anadai ananipenda na yeye anasema nikikubali kula kuku na mayai yake, nitakuwa sio mkwe tu,bali zaidi ya watoto wa pale nitapewa kipaumbele kwa kila kitu dah nimechanganyikiwa wadau,
14 Reactions
78 Replies
4K Views
Habarini Wadau, Nimefanya Utafiti kwa muda mrefu na kugundua kuwa Wanawake wengi wa kizungu kutoka US na bara la Ulaya wana miguu mizuri, minene na yenye afya kuliko wanawake weusi wa Afrika...
30 Reactions
463 Replies
23K Views
Habar za muda huu wa JF. Kwenye haya, maisha yapo mambo mengi unaweza kukutana nayo pengine ukajihisi wewe ni mwenye bahati na thamani ya pekee kuliko yoyote katika huu ulimwengu. Kifupi miezi...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Wakuu kusema ukweli nimetokea sana kumpenda Tajiri wa kusini jamoni wewe huyu mkaka nampenda sana jamani ana hela sana yaani kumsalimia tu na kumpa hi tu najikuta natumiwa pesa taslimu 2.5M wakati...
11 Reactions
47 Replies
2K Views
Ni NYIMBO ya muda mrefu sana nafikiri wakati huo watoto wa 2000 WALIKUWA bado hawaja vunja ungo, so alikuwa anaongelea watu wa miaka ya 90's na 80's. Kumbe bhana UMASIKINI ni Moja ya factor ambayo...
0 Reactions
2 Replies
334 Views
AINA 4 ZA WANAWAKE 🔞 Unapokuwa na mke na unataka kumridhisha kimapenzi, hatua ya kwanza ni kujua yeye ni mwanamke wa aina gani... Kwa ujumla kuna aina 4 za wanawake katika suala la furaha ya...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji854]Good morning JF....naweka simu charge kwanza Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kilele kwa upungufu wa nyege au matatizo...
7 Reactions
9 Replies
185K Views
Hamjamboni! Kuna Misukule ya aina nyingi. 1. Kuna Misukule ya Imani Hii ni Misukule ambayo waumini hutafuta pesa kwa Hali na Mali. Kwa jasho na damu na kwenda kupeleka Mali hizo kwa Mitume na...
29 Reactions
66 Replies
4K Views
Nilidhani wanawake wana harufu ya kisamaki tu,nilichokutana nacho mwaka huu,naapa kuacha uzinzi. Harufu ya yai viza baada ya kuvua nguo ya ndani.kumenifanya niokoke na kuchukia wanawake wanene...
18 Reactions
33 Replies
2K Views
UTABIRI: Mpaka kufika 2030, watoto wa 2000 wataanza kulana denda mbele ya wakwe zao kwenye harusi kwa kigezo cha "Westernization"
30 Reactions
227 Replies
8K Views
Hello watanzania, Nimetokea Facebook, Insta na Tiktok nimekuja Jamiiforums kujifunza mambo mbalimbali na kutengeneza marafiki pia, Nahitaji marafiki makini, wenye akili timamu, wacheshi...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…