Wanachokosea wanaume wakati wa kutongoza

malisak

JF-Expert Member
Mar 16, 2006
694
772
1. Papara
Wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako.

2. Kujifake
Wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno

3. Kutosoma mood ya mwanamke
Unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,,

4. Kumponda ur ex lover
Mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.

5. Kulalamika
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.UKITULIA NA KUMTONGOZA MWANAMKE BILA KUYATENDA HAYA MBONA UTAMPATA KILA UMTAKAE
 
Sasa umekutana nae kwenye basi au airport, usipomwomba namba, utamwona wapi?
Hilo nalo neno ila baada ya kuipata namba ndio utulize kichwa maana ufahamu hapo kila moja atakuwa na azma na lengo lake kwa mwenzie hususan mkishakubaliana so inatakiwa kuwa makini maana unaweza kuwa na nia njema ila mwenzako akawa tofauti
 
KWa uzoefu wangu juu ya saikolojia ya mapenzi kwa mwanamke ni % ndogo sana wapo after money wengi hu- act expensive na hawapo hivyo na wanakua na lengo la kusema "acha nimpime kipindi hiki nione siku nikipata tatizo atasimama na mimi?' trust me ndio ilivyo
Hiyo experience uliipatia sayari ipi?
 
Lakini kuna kitu cha msingi Sana umesahau - Pesa.
NA muda mwengine hiyo hiyo PESA yako inaweza ikakufanya usimpate mwanamke inategemea na mazingira ( hapa ni % chache kidogo) mwengine anazo sababu za kukupenda kama UCHA MUNGU,MUONEKANO, UCHESHI NA UKARIMU ETC, aina hii once ukionesha unaipa sana nafasi pesa mbele ya mapenzi anaweza kukuchukulia tofauti inategemea na lengo lake kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom