masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,211
Kwa wanawake usipende sana maugomvi yasiyokuwa na tija inakata stimu kabisa
Unaweza ukawa na jamaa unaona athumani hashtuki kabisa akikuona ni ile stimu hamna akikumbuka makelele yako.
Hata nyinyi wanaume mpunguze ile tunaita gubu sio umefika tu nyumbani mara mbona geti liko wazi? Mbona kuku wanapitapita nje? Mbona chakula kinatoa moshi? Yaani gubu gubuuu..hiyo inakata kabisa mtu huwezi fika heaven kabisa.
Kiprotokali hisia zinachangia sana msisimko wa kufika kileleni zaidi ya performance. Yaani namaanisha ukiwa na furaha akilini wazungu wa kike wanakuja fasta kuliko kawaida.
Lakini ile unaniacha na mawazo tulikuwa sehemu tunakula au bar unageuza geuza shingo mara utaniane na wadada aisee akili inahama baadae mlima haupandiki.
Ila makelele naona yanawaathiri wanaume sana maana wanawake asilimia kubwa makelele sana maana mpaka umpate mwanaume mpiga makelele ni moja kati ya 100.
Mapenzi yanahitaji utulivu wa akili kuliko show nzima.
Lakini pia kuna vijimaneno vya wanaume ambavyo vinawapunguzia wanawake hali ya kujiamini na vikitamkwa mara kwa mara kiwango cha kufurahia mapenzi kinashuka.