Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nini kinasababisha vijana kuoa mashangazi? Tuongee kidogo...
12 Reactions
257 Replies
20K Views
Siku hizi imezuka tabia ya mijimama kupendelea vijana zaidi ya wazee. Unakuta mjimama unapita barabarani [emoji23] na kijana ambaye wametofautiana hat miaka 20 lakini yupo comfortable na kamuacha...
6 Reactions
68 Replies
8K Views
Hili jina linatrend sana hapa jijini ni nilikuja jambo hili kugundua jambo hili ni kubwa baada ya kuona makamu wa rais naye kuwaonya wasipende mashangazi kwanini vijana wanapenda watu wazima...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba, nikapata mimba akawa amefurahi sana. Basi tukakubaliana tukaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mimi nikapata kazi mkoa...
17 Reactions
203 Replies
19K Views
Habarini wana JF, Nataka niulize hii kitu, Juzi wakati narudi maeneo fulani ilikuwa kama saa 7.30 hivi usiku nilisikia kelele kwenye nyumba moja ambayo iko kama mita 500 kutoka nyumbani kwangu...
9 Reactions
185 Replies
89K Views
Kwanza niombe radhi kuwa sina nia ya kumnyanyapaa mtu yeyote kwa jinsia yake, rangi yake, kabila lake wala dini yake. Nimekua nikiona hii dhana ya kuwapo kwa mikosi inayotokana na kulala na...
2 Reactions
43 Replies
12K Views
Za sa hivi ndugu zangu. Wengine tumekuja Dar kwa sababu imetokea tuu na sio wenyeji. Najua kuna watu wapo Dar enzi zile bahari ipo hadi buguruni au kabla chips hazijaja na wengine tumekuja juzi...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki. Wapo wanaodhani ni...
17 Reactions
114 Replies
3K Views
Wiki iliyopita nlikua kwenye sherehe ya harusi. Well wanaooana wote nawafahamu. Bi harusi nilimfahamu kupitia bwana harusi. Bwana harusi nlimfahamu kupitia mzee wangu. I was very happy kwa bi...
39 Reactions
82 Replies
11K Views
Habari wana JF. Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi. yeye ni form4 na mimi...
0 Reactions
138 Replies
13K Views
Jaman wana jf, mwenzenu nashangazwa na tabia za dada zetu wa leo. Nakumbuka miaka ya nyuma kukubaliwa ilikua shughuli, utahangaika mpaka ukome, tena akikubali unakua na kazi ngumu ya kumshawishi...
4 Reactions
154 Replies
19K Views
Naomba tu muje muniambie ,maana nilishawahi nikuta hili unamuuliza mtu wewe kwnini bado unawasiliana na huyu mwanamke akati ulishasema umeachana naye miaka mingi anakwambia ''mwanamke haachwi...
6 Reactions
102 Replies
9K Views
Wakuu naombeni ushauri jamani,nipo ktk mikakati ya kumtafuta msichana ambaye baadaye atakuja kuwa mke.... Kuna msichana ambaye tulisoma woote huko kilimanjaro na alikuwa dem wangu kipindi hiko ila...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
leokunasehemu nimeshinda nimerudi saamoja jioni nakuta nyumba iko pekeyake shemeji yenu hayupo😐 nimesubiri hadi saa tatu ndio akarudi nimekasirika kishenzi. Namuuliza umetokawapi haeleweki...
4 Reactions
13 Replies
755 Views
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500. Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5. Tulipendana...
7 Reactions
204 Replies
21K Views
Hey! Don't be excited.. Leo tunasherehekea kuzaliwa kwa mmoja wetu ambaye pia figure muhimu sana Katika jamii.. Happy Birthday MMAHE Na kwa uzuri ni raha tena coz leo ni Mwaka wake wa Pili...
9 Reactions
110 Replies
11K Views
Aise kuna watu wa ajabu sana hii karne ya 21! Lets say ulikua bafuni unaoga, ulivyotoka ukakuta missed call kama 4 hivi kutoka kwa mshkaji wako, ulipotaka kumpigia ukakuta huna salio ikabidi...
16 Reactions
167 Replies
15K Views
Habari wajamvi. Kama mjuavyo haya masuala ya mapenzi, nimeona vyema kufungua uzi huu ili kuweza kujadili kwa marefu sana matatizo ya mahusiano kuvunjika. Swali, kwanini uliachana nae na kwa nini...
1 Reactions
407 Replies
57K Views
kifupi ipo hivi niliachana na demu wangu last year nikawa ni mtu wa nyero na kununua madanga, hivi karibuni nimepata demu , Leo nilikua nae kwenye show baada ya bao la kwanza mashine ikasinyaa...
13 Reactions
164 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…