Nimekusaliti mke wangu

Kyooma

JF-Expert Member
Sep 20, 2013
224
98
Mke wangu naomba unisamehe...leo ctaki kuamin nemesaliti mke wangu kwa miaka mtano ndani ya ndoa sijawahi kutoka nje leo nimekutana na ex wangu na tumefanya.

Nimeona tofauti nimekumbuka utamu wako na uzuri wako nimekumbuka tabasamu lako nimelikumbuka nolipokua na ex.

Kwanini nimefanya hivi nisamehe mke wangu najua hata kama haupo humu nisamehe na nimekuaga nitapitia kwa rafiki yangu kumbe nimekusaliti ngoja niagize serengeti nipate ujasiri wa kukuface home.
 
Kwahiyo unaweweseka baada ya kumsaliti

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Haaa haaa the world is ful of surprises, haya bana umesaliti alaf tena unalewa c unaongeza makosa sasa?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom