Ni J2 siku ya mapumziko, wife amekutengenezea lunch nzuri sana, umekula umemaliza unaamua kusaidia kuosha vyombo.
Wakati unapanga vyombo vizuir kabatini unakutana na kipande cha gazeti ndani...
SEHEMU YA KWANZA
ndio niliwahi kuwa rafiki yake mzuri sana, rafiki mwenye mapenzi ya dhati, rafiki mwenye mtizamo chanya, rafiki asie na wivu lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo! Kwanini?? iko...
Wadau naomba mnisaidie.
Kuna ukweli wowote kuwa ukitoa bikra ya mwanamke unakuwa umeingia naye kwenye agano?
Na pindi utakapomuacha akawa anakulalamikia kuna laana yeyoyete inayoweza kukupata?
Habari,
Hapa jirani kuna mdada mmoja yaani amenisikitisha moyo, mdada mrembo kwa kweli maana ana sura na HALICHACHI BANDO kama la yule Suzy Bern wa E-news.
Kinachoniuma pamoja na kuwa na haiba...
1=Usilazimishe kupenda usipopendwa UTAUMIA,
2=Usiache kupenda ulipopendwa UTAJILAUMU,
3=Usitoe maamuzi kwa ajili ya fulani UTAJUTIA,
4=Usione soo kusema ukweli wako UTAUMIA,
5=Usiwe na wivu...
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena.!
Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?
Miaka 26: Wenzio wanaolewa.
Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha...
Nilikutana Jesca mwaka 1999 katika chuo cha ualimu Tabora (Tabora TTC)
Mahusiano yetu yalizaa ndoa baada ya miaka mitatu baadae.. Pamoja nakuwa katika mahusiano hayo nilikuja kugundua Jesca nae...
Husika na somo tajwa hapo juu. Nawasalimu kupitia jina la Bwana.
Naomba mwenye kufahamu link au web ambako naweza kuipakua movie tajwa hapo juu anisaidie. Nimefanya juhudi zote bila mafanikio...
Habari za kazi ndugu,
Niende moja kwa moja kwenye maana husika tupo kimahusiano na mwanamke ambaye tulipanga kuja kuona baadae.
Mimi nipo Singida na yeye yupo Kahama, huwa tunatembeleana sasa...
SIO LAZIMA UNIELEWE!!!
*Alipenda Kujiita Mr.Sugar Kutokana Na Umahiri Wake Wa Mapenzi Kitandani Na Kujua Kubembeleza Kwa Umakini Sana.
*Mr.Sugar Hakuwa Na Kazi Yoyote Zaidi Ya Kupenda Kulelewa...
Ladies not ALL MEN CHEAT,
Huu ndio ukweli, nimeona hili jambo mara nyingi sana kwa watu wangu wa karibu, not all men cheat. Wanawake huwa tuna assume kwamba tupo kwenye mahusiano na mwanaume...
Habarini wana MMU,
Leo nimekuja na mada hapo juu kusudi kila mtu aelimike je unachukuliaje ubestfriend? Unakupa faida au hasara?
Nianze mimi labda, kipindi nikiwa 20 yrs and below kweli nilikuwa...
Mambo 39 Yanayovunja Mahusiano Ya Kimapenzi Au Ndoa
1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako.
2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako.
3. Ubishi usiokuwa na maana.
4. Kupenda kujihesabia...
Naam kweli wahenga walisema "mzoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi" wakuu mimi binafsi huwa nashangaa mno mwanaume ambae hawezi kupata mwanamke mpaka atumie hela ndio ampate binafsi sijawahi...
nimekuwa mara nyingi sana nikiangalia wanawake wazuri wenye tabia nzuri wanaangukia mikononi mwa wanaume masela au gangsters. wanaangua kwa wanaume aina flan hivi ambao mwingine unaweza usielewe...
Kha!!!!!!
Hizi tuhuma zinakwenda moja moja kwenu wanaume wa Dareselama...
Hii tabia ya kulamba chocolate imekaaje? yani nauliza kidume na mindevu yako umeng'ang'ana na chocolate inakuaje yani...
Huyu kaka tulisoma wote na kumaliza pamoja darasa la saba. Tumekutana tena kwenye kijiji cha wavuvi soko la Kisutu, kwakuwa siku ile nilikuwa na haraka tuliweza kubadilshana namba simu.
Huyu kaka...
Habarini wa JF!
Kwa vijana wa zamani, nadhani mtakuwa mnakumbuka jinsi mila zetu za Kiafrika zilivyokuwa, kwa kijana hasa wakiume akitaka kuoa enzi hizo. Kwa ninavyokumbuka kwa makabila yaliyo...
Habari wanajamvi?najua hatujasomana muda mrefu hapa MMU,ila naamini wote hamjambo, Ni usiku umefika ila mwenzenu sina amani kabisa,kulala natamani ila kuna ndoto nimeota hizi siku tatu...