Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Za mda huu wadau.. Kwanza nijitambulishe kuwa sijaoa na nipo single.. Ila natafuta/naomba nipate.nawe pia niombee( 0620394062) Sasa utakuta Rafiki zetu anaweza kuwa Dada au kaka..kipindi yupo...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
"JIHADHARI NA NENO MAISHA" Elewa sio kila anae CHEKA na wewe KAFURAHI na wewe ukadhani ndie RAFIKI, Utu wao umo ktk MACHO lakini NAFSI zao zimebeba HUSDA, UCHAWI, UADUI, UCHOYO na ROHO MBAYA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mpenzi wa kanambia ananichukia na hataki hata kunisikia, kosa silijui. Nifanye nini?
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Za mda huu na mwanzo wa weekend. Bila kupoteza mda.. Kuna watu unaweza uliza "hivi unataka kukaa mda gani kwenye mahisiano kabla ya kuishi pamoja"?au "unaweza pata MTU na ndani ya mda mfupi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari, Mimi ni kijana wa umri wa miaka 21 hadi 28 pia ni kijana mstaarabu, mpole kiasi na ni mpenzi wa kuongea na kila mtu aliyekaribu yangu hadi inafika wakati najishtukia kuna maisha...
6 Reactions
60 Replies
5K Views
Tangia nimepevuka idadi niliyodate nayo ni wasichana kumi na nane na umri wangu ni 29yrs now, naombeni ushauri wenu wenye experience zenu niongeze idadi ama inatosha? Nitafute wangu wa maisha...
3 Reactions
124 Replies
50K Views
Mdada anasimulia leo kazini, kila akipekua nguo za mpenzi wake anakutana na pakiti pungufu ya Condom. Mara ya kwanza kuzikuta alimuuliza, Jamaa akasema sio zake za rafiki yake, kuna kipindi...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Jamani nimekuwa na mpenda binti wa kiarabu kwa muda mrefu sasa Toka 2006. Tunapendana sana. Naomba kujua vitu vya kufanya ili nimuweke ndani. Kwa yeyote mwenye uzoefu na tamaduni za waarabu...
0 Reactions
175 Replies
20K Views
Habari, Hivi karibuni tulipata uhamisho na mke wangu wa kikazi kwenda eneo jingine kikazi. Hali ya hewa ya eneo hili tulipohamia ni joto na jua kali pia maji ya hapa ni yenye chumvi. Jamani mke...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Navyosikiaga mwanamke akiwa na elimu na mwanaume hana mwanamke humnyanyasa mwanaume kutokana na elimu yake ivi kuna ukweli ndani yake? Au akimsomesha baadae anatafuta mwenye elimu na kumuacha...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko. Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake. Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea...
4 Reactions
153 Replies
14K Views
Nasikia na bila shaka nawe umeshasikia kamsemo kuwa kwa kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke nyuma yake kwamba ili utoke kimaisha na kuachana na mikosi au gundu ulilonalo kama lipo basi...
3 Reactions
145 Replies
14K Views
Mara nyingine huwa nawaza kuhusu ule wimbo wa mwanaume suruali, mbona kama unanihusu? Wanawake wa Dar es Salaam mmenishinda kiukweli. Jamani, wenzangu mnaomiliki watoto wakali hapa mjini huwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Za asubuhi wanajamii, Mimi ni mzima wa afya, Naomba niende direct kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana nimeoa ka mwaka sasa umepita, tunaishi kwa furaha na amani tele but cha...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
Mwanamke mmoja wa Massachusetts nchini Marekani amehukumiwa kifungo cha miaka miwili na nusu jela kwa kumshawishi mpenzi wake wa kiume kujiua kupitia ujumbe wa simu ya mkononi na kumpigia simu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi ladies and gentlemen hope your all doing well and good, Miaka kama miwili hivi nikiwa mwaka wa tatu(finalist) katika chuo fulani jijini, nilikuwa nna mpenzi wangu kusema ukweli mwanaume...
4 Reactions
98 Replies
11K Views
Nimepata kuhudhuria sherehe ya harusi ya jamaa yangu, licha ya kutoa mchango na kujitoa kwangu kote huko lakini sherehe haina bia wala k vant! Kiukweli party ya harusi bila bia ni hamna kitu Hii...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Sijui wenzangu hii mnaionaje, Utakuta mtu ana mpenzi wake au mume wake au make basi mmoja wao anajitahidi kumfanyia mambo kadhaa mazuri. Jamani mtu huyu atatafuta kila sababu akosoe au alalamike...
8 Reactions
65 Replies
5K Views
WAAMBIE NA WENZAKO……… Wewe ni msichana mzuri, unapenda kwenda na wakati. Umeshaanza kutumia vilevi. Tena vile laini ambavyo ukinywa leo unaweza kulewa kesho. Una mahusiano na John. Lakini...
20 Reactions
65 Replies
8K Views
Kama ilivyozoeleka kuitwa kila aina ya majina sisi majemedari wa jijini,sasa habari njema kuwa nimeitwa kwenda kuzindua albam,mwenye mali yupo masomoni. Nawaahidi sitawaangusha wa dsm wote,ni zaid...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…