Binadamu wa ajabu sana

Binadamu wa ajabu sana

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
299
"JIHADHARI NA NENO MAISHA"

Elewa sio kila anae CHEKA na wewe KAFURAHI na wewe ukadhani ndie RAFIKI, Utu wao umo ktk MACHO lakini NAFSI zao zimebeba HUSDA, UCHAWI, UADUI, UCHOYO na ROHO MBAYA. Furaha yao kukuona unaharibikiwa na HASIRA zao kukuona UMEFANIKIWA. Wangapi ULIWAAMINI, UKAWAPENDA, UKAWASAIDIA ukawaona NDUGU ukawapa SIRI zako leo ndio MAADUI zako? Kweli maisha ni WATU lakini kuwa mwangalifu nao!
WATU ndio hao hao watakutoa MACHOZI na ndio hao hao watakuja kukufuta MACHOZI.
4fe846f9c2b02f3531663324c648418e.jpg
 
Ndo umejua leo mkuu au??
 
Ukiwa mwema ni silaha imara.

Maneno mengine ni porojo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom