noel oga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2015
- 277
- 230
Habari,
Hivi karibuni tulipata uhamisho na mke wangu wa kikazi kwenda eneo jingine kikazi. Hali ya hewa ya eneo hili tulipohamia ni joto na jua kali pia maji ya hapa ni yenye chumvi. Jamani mke wangu ni mweupe mfano wa Sepetu Wema umuonavyo au Chekibudi lakini baada ya kuja hapa ule weupe unatoweka na anakuwa mweusi na jamii ya watu weupe hapa nao wamekuwa weusi.
Hali hii inanifanya nikose amani napomtizama my wife, je nifanye nini mke wangu weupe urudi maana akienda kule tulipokuwa kikazi kabla ya kuhamishiwa hapa anakuwa mweupe ila akija huku anabadilika.
Msaada