misstrace
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 649
- 1,483
Mdada anasimulia leo kazini, kila akipekua nguo za mpenzi wake anakutana na pakiti pungufu ya Condom.
Mara ya kwanza kuzikuta alimuuliza, Jamaa akasema sio zake za rafiki yake, kuna kipindi alisafiri akamwachia nyumba rafiki yake amwangalizie kwahiyo akapata sababu.
Jana wakati anafua nguo akawa anapekua kwenye mifuko ya suruali, akakutana na pakiti tupu ya Condom, anasema alichofanya akakichukua akakiweka kitandani.
Hajamuuliza wala Mwanaume hajaongelea kitu, kafanya kama hajaona iyo pakiti iliyowekwa kitandani.
Yupo kwenye ushindani na nafsi yake hajui aamue lipi.
Mimi binafsi nimemwambia ashukuru Jamaa anakumbuka kuvaa soksi anakozurura, wanaume wote hawajatulia asimwache atulie.
Ila ningekuwa mimi ndo kwanza ningemnunulia boksi zima namuwekea asipate shida.