zainaby
Senior Member
- Jul 31, 2017
- 181
- 243
Hii huwa inanishangaza sana, unakuta watu wanaitana majina yote matamu matamu pale wanakuwa wapenzi lakini penzi likiisha majina yana kuwa kinyume cha yale ya kwanza.
Rafiki yangu alikuwa na mapenzi basi ilikuwa ni shida, utasikia love, honey, my man. Hivi karibu kabwagwa mara majina yamebadirika sasahivi ni yule malaya, dume suruali. Mara sitaki hata kumsikia.
Hapo sasa nashindwa kuelewa huo ulikuwa upendo wa kweli au maigizo?
Naomba kujuzwa