'Kutelekeza' mke na kwenda kusoma Ulaya!

'Kutelekeza' mke na kwenda kusoma Ulaya!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,814
Wakuu hii imekaaje?
For the love of eduction unakuta rijali kaacha mke na kupotelea Ulaya kusoma kwa miaka miwili na zaidi.
Hivi hiyo ndoa yaweza kuwa salama kusiwe na kusalitiana?
 
Bas sawa,,ipo salama salimini ila nyie ndio mnona shida wakati ndoa ni yao na mipango ni yao,we unasema hvyo wakat mm nipo imara wife anatafuta maarifa zaid huko ughaibuni mwaka wa tatu huu.
 
Amna kichoshindikana ni mipango na maelewano tu.

young kilimanjaro
 
Ni jambo la kawaida! Siyo yeye wa kwanza, kuna watu wengi sana walioenda kusoma nje na kuacha familia zao. Ni njia mojawapo ya kuongeza kipato kwa ajili ya familia yenu. Tulia, miaka miwili siyo mingi. Pia anaweza kuja wakati wa likizo kuiona familia. Unachotakiwa tafuta kitu cha kufanya kikuweke busy.
 
Duhh....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nimekosa la kushauri, zaidi naomba nitoe pole kwa muhusika....
 
Duhh....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nimekosa la kushauri, zaidi naomba nitoe pole kwa muhusika....

hahahhhaa nimecheka kweli kweli.... inawezekana bwana... mie hubby aliniacha akaenda kusoma... ndoa changa kbs sikuwah ht kukaa grocery achia bar! wala ht kutoka nilikua sitoki ni mm na dada wa kazi tu...(ila sema nilikua na kamimba kachanga mwee)! lakini inawezekana km mpo pamoja kihisia....
 
Duhh....
Naomba nikupe hongera za dhati.
Alaf......
Hivi hauna mdogo wako mwenye tabia za uvumilivu kama wewe, maana nakaribia kwenda ulaya kusoma miaka miwili....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Duhh....
Naomba nikupe hongera za dhati.
Alaf......
Hivi hauna mdogo wako mwenye tabia za uvumilivu kama wewe, maana nakaribia kwenda ulaya kusoma miaka miwili....[emoji2] [emoji2] [emoji2]

hahaahaha sina! utapata huko huko jukwaju
 
Inategemea ndoa yenu mmeijenga katika misingi ipi, ikiwa mme-base sana katika upande wa physical kdgo kutakuwa na challenge but kama nyote ni watu mature mnaelewa ni nini mnataka basi sioni problem yoyote, you'll control your emotions mpaka ur better half atakaporudi kwan ulaya ni akhera lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh! kuna jamaa alienda kuchukua digrii hapo UDOM mke wake alibaki anagongwa hadi wapangaji walichukia.Ilifikia kipindi hadi bodaboda mmoja akahamia kwa yule mke akawa analaza bodaboda yake pale.

Kwakweli yataka moyo kuoa halafu ndo unaenda kusoma,yaani ni tatizo sana kwani wanawake wanaoachwa baadhi yao wanaleta migogoro kwenye ndoa za baadhi ya wanaume wanaopenda wake za watu.Sasa wewe unayetaka kwenda ulaya,nenda lakini ujue mkeo asipokua makini atakuvunjia heshima sana,na tunachotaka sisi wanaume ni HESHIMA,kugongewa hovyo kunashusha heshima ya mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee upo nchi gani!? Usaliti hata ukiwa nae 24/7 kama kusalitiwa utasalitiwa tu
 
Back
Top Bottom