Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jana jirani yangu mwanamke kaniita ndani kwake nimrekebishie TV yake nikaenda kweli nikamrekebishia nimemaliza nataka kuondoka akanizuia akaachia khanga yake huku ndani hajavaa kitu na baridi hili...
0 Reactions
115 Replies
12K Views
Unaweza ukajiuliza "je inakuwaje muuza karanga ameoa wakati tunaambiwa pesa ndio kila kitu ? Mbeba zege kapataje demu kwa ujira wa 6000 kwa siku wakati pesa ni sabuni ya roho? Hivi waokota...
3 Reactions
34 Replies
9K Views
kuna wanawake wajinga sana. Inatokea unatembea na mume wake, anaanza kukutukana achana na mume wangu sio type yako. Ni kweli maana unakuta mwanaume ana hela sana na ndio kitu kimekuweka pale...
9 Reactions
164 Replies
15K Views
Habari wakuu! Leo ngoja tuangalie kazi ambazo warembo wakimkuta mtumishi ni mwanaume ujisikia amani kuliko wakikutana na jinsia yao..na hawaonagi tatizo kujilengesha kwao(siyo wote)...
7 Reactions
172 Replies
15K Views
Nimegombana na mke wangu ni muda sasa, ugomvi wetu ulianza pale alipoambiwa na jirani nina hawara huko kazini. Ameninyima dudu kwa miezi 6 sasa na mimi ninamhudumia bila kinyongo. Sasa kama wiki...
4 Reactions
208 Replies
30K Views
pamoja na uhenga wangu ni kuwa bado sijaoa. Sasa mazee hiyo kitu ikoje ikoje? Maana kupima ngoma si masihara hasa ukikumbika mechi za kutosha ulizoziuza a.k.a kutembelea ringi. Je,ni lazima au...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za majukumu ndugu na jamaa zangu. Mimi mzima wa afya, jamani kwa wanaoishi Tabora wilaya ya Nzega au wilaya ya Igunga. Natafuta mpenzi; sifa, awe mrefu rangi sibagui awe na miaka kuanzia...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
*UJUMBE KWA WANANDOA Na wachumba.* _*"USIMVUE NGUO MUME WAKO"*_ Wakati anafungua zawadi kutoka kwa watu mbalimbali Jane alishika Box kubwa na kuanza kulifungua kwa pupa kwani alikuwa akikumbuka...
13 Reactions
54 Replies
9K Views
Nimepata ugeni weekend hii, ni kaka yangu anaeishi Nanjilinji amenitembelea akiwa na familia yake. Wifi yangu ametokea Nanjilinji na hajawahi kufika Dar, kila nikienda kuwatembelea ninamkaribisha...
8 Reactions
129 Replies
9K Views
Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu? Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. Na...
2 Reactions
3 Replies
9K Views
Ndugu, Nawashauri kwa wale ambao mnategemea kua na mahusiano ya kudumu.Epuka mwanamke mvivu anayeshinda anaangalia TV na kuchati. Mwanamke anatakiwa awe na vijimiradi au vyanzo vya hela. Kumbuka...
19 Reactions
97 Replies
9K Views
Habarini wadau!, 1.Kama upo single na unakazana kusema kuwa 'MIMI SIAMINI MTU KATIKA MAPENZI' ,kumbuka rafiki zako wanaoa na kuolewa kila siku. Acha mawazo hasi,omba Mungu akujalie mwenzi wa...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wana jamii. Kwa sasa natengeneza video clip za dk moja ambazo huelezea jambo flani.Maelezo ya video hizo hubeba falsafa kubwa sana ambazo zimeandikwa katika mtindo mwepesi ili kufanya kila...
0 Reactions
2 Replies
941 Views
Hello wakuu Kama ulisha wai pitia K kavu ...je ulijisikiaje mkuu mara baada ya ligi kuisha , na je una washauri nini wenzetu wale kuhusu hilo na namna ya kuliepuka...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwanini wanawake wengi hupendelea kutoa majibu hayo wanapotongozwa? Je kuna mwanaume ambaye hajawahi kukutana na majibu ya aina hii?
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimekuwa naona watu wanapigana ban yaaan Ile banned kwenye dp Sasa mimi Kuna manyang'au yananizinga mara matus mara yananionea wivu sa nataka niwe nayalamba ban nimechoka kupigwa dis kwenye uzi...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Salaam Wakuu! Ninamdogo wangu wa kiume amemaliza chuo ngazi ya diploma mwaka jana,(General Agricultural) mambo ya Kilimo na ufugaji. Baada ya kumaliza nilimshauri mengi kutokana na tatizo la...
8 Reactions
67 Replies
9K Views
Hii show inaonyesha jinsi binadamu tunaweza poteza kazi, maisha na kuwa na mpenzi ambae hakupendi Lakini umo .Mwanamke ( Anfisa) gold digger yaani huyo handbag lazima dollar 25,000.watch it
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Wakuu baada ya kupitia nyuzi za hapa na pale nmeingiwa na kiwazo Hii inatokana na kinachowavuta wadada na wakaka katika mahusiano kwa asilimia kubwa. Wadada wanapenda sana watu wanaoweza...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Jamani kuna Ban kama nimeziona kwa hawa watu.. They are not seen mwenye taarifa... Rubi Retired Sister
1 Reactions
4 Replies
929 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…