MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,009
Unaweza ukajiuliza "je inakuwaje muuza karanga ameoa wakati tunaambiwa pesa ndio kila kitu ?
Mbeba zege kapataje demu kwa ujira wa 6000 kwa siku wakati pesa ni sabuni ya roho?
Hivi waokota makopo wameoa kweli ?
Vipi kuhusu omba omba mbona wengine wana watoto halafu hela hata ya kula hawana ? Haya yanaweza kuwa baadhi ya maswali yanayotawala baadhi ya vichwa vya watu. Jibu rahisi ni kwamba kila shetani ana mbuyu wake kivipi huku mtaani kuna kila aina ya watu na type zao yaani kila mtu anaishi au anazaa na wakufanana nae. Kivipi ? Ukimuona mbeba zege ujue kuna wanawake wa type za kubeba zege yaani huyo mwanamke angekuwa mwanaume angebeba zege ukiona muokota makopo jua wazi kabisa mwanamke aliye nae ni type za makopo hivi mwanamke wa ofisini anaweza kuolewa na muokota makopo ? jibu ni hapana kabisa yule mwanamke wa ofisini ataolewa na type yake ikitokea bahati mbaya akaolewa na mtu wa chini hutafsirika kwa watu kama zali la mentali
Angalizo kijana ambaye bado hujaoa tafuta wa kufanana nae we kama ni muokota makopo kama mimi kuna type zetu maana mnalalamika sana oooh mizinga anataka tutoke out kila siku kumbe tatizo ni wewe mfuko wako ni mdogo hivi unafikiri zile hoteli wamejengewa nani ? na vibanda vya chips za buku jero kwa ajili ya nani ?
KUMBUKA KIJANA: kama unataka type za juu tafuta hela ili usilalamike mizinga watu wanahonga hadi nyumba we laki moja unalalamika mahari milion nne unatujazia server hapa jamvini wakati kuna wanawake wa chips yai za buku mbil