More problems
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 432
- 257
Wakuu baada ya kupitia nyuzi za hapa na pale nmeingiwa na kiwazo
Hii inatokana na kinachowavuta wadada na wakaka katika mahusiano kwa asilimia kubwa.
Wadada wanapenda sana watu wanaoweza kuwalipia bill zao (mtu mwenye kipato) pia anayewafikisha kibo na mawenzi
Huku upande wa pili wanaume sie kiuno, kalio (umbo la haja)
Na kila upande upo busy kutafuta kinachopendwa ili wakamate kundi lingine . wadada wanatafuta maumbo kwa UDI na uvumba wanaume pia kuhangaika na mikuyati na kufanya kila sina ya dili ilimradi wawini kuwapata wanawake wanaowataka.
Matokeo yake ni stress na ku-risk maisha wkt huo UKIMWI nao kama upo unasubir abiria.
Kwa kuwa tumeamua hakuna namna tukazane tufe Mungu ataumba wanadamu wengine tukiisha