Hizi ni baadhi ya kazi ambazo mhudumu ukiwa mwanaume uwezi lala njaa

harder king

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
3,970
6,898
Habari wakuu!
Leo ngoja tuangalie kazi ambazo warembo wakimkuta mtumishi ni mwanaume ujisikia amani kuliko wakikutana na jinsia yao..na hawaonagi tatizo kujilengesha kwao(siyo wote)

1.daktari-mara nyingi wanaume hatupendi wenza wetu wahudumiwe na daktari wa kiume, kwani ni raisi daktari kutumia nafasi yake kumshawishi wawapo private room..na ni kweli madaktar wengi Wa kiume wanawafaidi sana hawa viumbe(siyo wote)

2.cashiers wa bank- aisee hawa jamaa nawangaliaga tu jinzi wanavyo gawa au kupewa Namba za simu na wadada warembo..unaweza kua kwenye foleni mdada anafika dirishani baada ya kuhudumiwa anapewa slip kabla ajaondoka unaona anamrudishia jamaa Chap anandika kitu na kumrudishia..ukiona ivyo ujue tangia anaanza kuhudumiwa alishanzishiwa mistar na imemuingia..cjui wanavutiwa na yale maburungutu ya wateja wakafikir cashier anaweza wachotea hapo..

3.Police- hawa jamaa wakipanga mtaani kwako AF ukute yupo single na mtaa una warembo lazima awalambe wote cjui wanamvuto gani kwa hawa viumbe..

4.Usalama Wa taifa-- mara nyingi ukitaka kumla mtoto mkali mwambie upo usalama Wa taifa ata kama unamtania mradi tu uwe smart..hapa sasa ndio utajiuliza demu anafuata usalama au mkwanja? Wanajua wenyew.

Hizo ni baadh tu ya sehemu nyingi ambazo hazijawai kuwaacha hawa viumbe salama..zipo nyingine ata wake za watu ujikuta wakimegwa kizembe tu kwa kushobokea nafasi aliopo musika.

Ongeza na nyinginezo..



young kilimanjaro
 
Aiseeeeeh,
Huu Uzi , ngoja nichukue kiti nisome comments.
Maana pana, kada kama mbili zimetajwa humo ila; mrejesho wake nitausikilizia kwenye kucha na meno ya mtu yameondoka bila ganzi.
 
Umenikumbusha daktari mmoja bonge ya handsome yuko pande flani hlf anajifanya mlokole..anahuduma nzuri yule baba hata hana haraka anakusikiliza neno baada ya neno na anakujibu huku anakuangalia machoni. Ngoja niumwe tena niende pale..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom