Your relationship doesn't need to make sense to anyone, except you and your partner. It's a relationship, Not a community project[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu Wakuu..
Poleni na majukumu
Bila kupoteza muda nianze na kusema aliyekuwa mpenzi wangu wa takribani Mwaka Mmoja tuliachana yapita mwezi 1 sasa ..,
Kwa sababu za tabia yake ya...
Mwanaume na ndevu zake kutwa nzima kuanikiza udhaifu wa mpenz wake au mke wake ni ulimbukeni.
Hayo mambo ya umbea waachie watoto wa kike,nowdays unamkuta mwanaume na mindevu yake akimnanga binti...
Wadada wengi siku hizi wanazaa hovyo tu bila kuolewa.
Sasa wana kitabia cha kufanana sana wakishajifungua. Utakuta kutwa kupost picha za watoto wao Instagram, Facebook na hata profile picha za...
Habari zenu wana JF, ni matumaini yangu kuwa mko pouwa!!
Lengo la kuandika huu uzi ni kutokana kushindwa kufikia maamuzi sahihi .
Kuna binti nlikutana nae mwaka mmoja umepita hadi sasa ilikuwa ni...
Upo uvumi,kwamba mkeo AKISHAGUNDUA/AKITHIBITISHA KWAMBA UNA NYUMBA NDOGO,au una mke mdogo mahala fulani HESHIMA INARUDI kwa sababu:
-ANAJUA UNA ALTERNATIVE
-ANAAMINI UMEKAMATA NYUMBA NDOGO...
Habari ya uzima
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina miezi minne sasa tangu nilipokorofishana na mpenzi wangu na hivi Wiki iliyopita ameamua kuondoka. Sababu hasa ni hii
Ilikuwa...
Maisha hayana kanuni maalum, waweza kujikuta unaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mtu wa ajabu kabisa na pia yawezekana mtu uliyotamani kuwa naye akakubali kuwa nawe lakini mambo yakaenda...
Natoa ushuhuda wa kutolewa knock out na binti mdogo kabsaaaa pamoja na kwamba nilimwomba japo nimzame chumvini tu ila tutafanya cku nyingine kwa matumaini ya kumlegeza lakini wapi, niliambulia...
Kuna utafiti nimeufanya nimegundua japo sio wote ila wadada wengi hapa mjini wanategemea sana wanaume kuendesha maisha yao .......
Wadada wengi ukiwa katika mahusiano nao vitu kama vile kodi...
Hello ladies and gentlemen. It is my hope that you're doing good na mnaendelea vizuri katika kupambana na hali zenu.
Baada ya salaam kwa lugha ya malkia ambayo wengi wetu huwa tunaibahatisha...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
2005! The beginning of the end.
"Lara itabidi uende shule utakayo pangiwa ya serikali. Mimi sina...
Habarini wana bodi,
Kwa wale wazoefu wa ndoa je hii hali mshakutana nayo, Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia wanaume wakilalamika kuhusu kutokuwa na maelewano mazuri na wake zao pindi wawapo...
Kama kichwa kinavyojieleza.
Wasifu wangu
jinsia: Mwanaume, Umri miaka 32, Elimu: Diploma, Kipato: cha Chini, halali. Ajira: binafsi. Makazi: Njombe, ila safari Iringa, Moro, Dar mara kwa mara...
Inawezekana vipi utumie pesa zako kumshawishi kimapenzi mwanamke kama wale waliobahitika kufikia level ya urais?
Nakubali unaweza ukamshawishi mwanamke na akakupenda ila si sababu ya uwezo wa...
Habari,
Natafuta rafiki wa kike wakushare nae idea pamoja na changamoto za kimasomo umri 18-21 Itapendeza pia mimi ni mwanafunzi wa elimu ya juu chuo fulani.
Karibu Pm
Habari wakuu,
Mtazamo wenu ukoje juu ya kumtolea mahari pungufu mwanamke wakati wa kumuoa. Mfano mali uliyopangiwa ni milioni 1. Wewe unaomba utoe nusu alafu nyingine utamalizia mbele ya safari...
baada ya kipindi kirefu kuwa na swali ambalo halijibiki kirahisi, kwamba ni nani atakuwa umbavu wangu kwaza yukoje? Je atafanana kweli na mke ambaye yumo kwenye fikra zangu.
ilikuwa tarehe 4...
Hodi humu . Kama kichwa cha uzi kinavyosema ni ukweli usiofichika kua wanaume wengi wanapenda mteremko au ganda la ndizi wanaita utelezi . Wewe kama ni mwanamke na unamegeka kiurahisi ni dhahiri...