Nyumba ndogo huleta heshima kwenye ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ndogo huleta heshima kwenye ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Apr 14, 2009.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Upo uvumi,kwamba mkeo AKISHAGUNDUA/AKITHIBITISHA KWAMBA UNA NYUMBA NDOGO,au una mke mdogo mahala fulani HESHIMA INARUDI kwa sababu:
  -ANAJUA UNA ALTERNATIVE

  -ANAAMINI UMEKAMATA NYUMBA NDOGO BAADA YA KUANGALIA MAPUNGUFU YAKE MENGI SANA

  -ANAPIGANA KUFA NA KUPONA KUINUSURU DOA YAKE KWA SABABU INAKUWA KAMA IMEWEKWA REHANI

  kwa sababu hiyo,mke mdogo anasaidia kuurudisha upendo wa mwanzo kwa mke wako wa ndoa.

  JAMANI TUSAIDIANE MAWAZO HAPA,
  jamani ya kweli
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Mambo yanazidi kuwa mambo ndani ya JF!
  Kwa pande wangu nitasema hivi:
  1.Nyumba ndogo haileti heshima hata kidogo.Mwanamke akijua una nyumba ndogo ndiyo kwaaaanza anakudharau zaidi.Ila pia niseme kuwa, mwanaume anayeweka nyumba ndogo mara nyingi ni namna ya kujipa moyo kuwa ataheshimiwa zaidi - na huyo nyumba ndogo wake
  2.Nyumba ndogo hailetwi au haianzishwi ati kwa vile mke ana mapungufu.Inaweza kuanzishwa kwa sababu y aile hali ya mwanaume kujiona kuwa hawezi kua na mwanamke mmoja au pia huanzishwa kwa shinikizo la mwanamke huyohuyo nyumba ndogo kama namna ya kumshikilia huyo bwana kwa sababu mbalimbali ( kiuchumi, kisaikolojia, kijamii n.k.)
  3. Wanawake wenye waume wenye nyumba ndogo -wanaweza kuwafanyia kitu mbaya waume zao na hata hao mahawara( nyumba ndogo) hivyo ni hatari kwa mwanaume kujiaminisha kuwa mke atamheshimu zaidi, au atatetea ndoa yake bila kumdhuru.
  4.Familia zenye kukumbwa na dhahama ya nyumba ndogo huwa na migogoro na hata mapenzi huweza kuisha yakabaki mazoea tu.
   
 3. M

  Msindima JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Siamini kama nyumba ndogo inaweza leta heshima
  kwanza mke akishagundua una nyumba ndogo heshima ndani ya nyumba pamoja na Amani vinapotea,hakuna mtu anaependa kusikia kuwa mume ana nyumba ndogo mahali na hakuna mtu anayekubali kushare penzi. Na kingine pia mwanamke anapogundua hivyo ataanza nae vituko vya kila aina tena ukute ndo wale wanawake wa vinyongo na visirani ndani ya nyumba anaweza kuamua nae kulipiza sasa hebu nambie hapo akiamua na yeye kufanya hivyo nini kitatokea ndani ya nyumba?

  Na pia sisi wanawake tunaweza kujua kabisa kuwa mume wangu ana nyumba ndogo na nikavumilia na nikaendelea kuishi na wewe,je nyie mkigundua hayo mu wepesi wa kusamehe na kuamua kuendelea na mke wako?
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Apr 14, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh ndio justification zenu? Mnaweza mkafikiria hivyo ila hamjui ni kiasi gani mwanamke anamdharamu mwanaume ambaye haheshimu ndoa yake (kama mwanamke anavyodharaulika). Yaani tunaishiaga kuwaza hivi huyu anawashwa kiasi hiki? au ukiwa unatoka tu mawazo ni ah sijui haka nako kanakwenda kuishushia wapi tena zipu yake. Kifupi ni kuwa unadharaulika zaidi. Ila hakuna dharau kubwa kama kuzungumziwa habari yako kwa mashoga zake...... maana akishajua una nyumba ndogo wapo wale ambao hawezikaa nalo moyoni atatafuta mtu wa kumwambia then imagine ukikutana na huyo mtu (pengine ni wa karibu na familia yako) atakuwa anawaza mangapi.
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  FROM WHICH POINT OF VIEW UNA-BASE PLIZZZZZZ....!
  1. religious? CHRISTIAN/ISLAM/HINDU/BUDHISM/JUDAISM/TRAADITIONAL????
  2. political?
  3. tribal?
  4. cultural?
  5. economical?
  6. u-bongo fleva?
  7. u-zilipendwa?
  8. umaarufu?
  which..... i mean WHICH POINT OF VIEW ARE YOU AT? ILI USEME SMALL HOUSE HULETA HESHIMA?
  Kwanza wewe dini/kabila/jinsia/rika gani ????
   
 6. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa jibu fupi tuu HUPUNGUZA AU KIPOTEZA HESHIMA KABISAA!
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145

  WEWE WASEMA,sababu hayajakukuta

  I WISH NINGEKUELEZEA MFANO JUU YA HILI
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mie simo!!! :(
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Apr 14, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ..... He makubwa. Ndugu yangu kama kwako hili limeprove positive basi utanisamehe nikisema mkeo uliyenaye huenda yuko kwako kwa economic security au anajijua bila wewe haweziishi. Otherwise nijue una nyumba ndogo afu nikubembeleze tena ili uendelee kucompare makubwa unless wewe dini yako inaruhusu kitu ambacho nitakubaliana nawe asilimia 110.
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  I AM BASING IN ALL ASPECTS!

  i am very sure,you have not properly read the thread.

  halafu pia jinsia,dini,kabila na rika HAVINA MSAADA,isipokuwa mawazo yako BINAFSI yaanahusika sana! i hope i have made myself CLEAR

  thanking you!
   
 11. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Ina maaana wanaume ni malaika? Hawana mapungufu?mpaka sisi wanawake ndo tunafanyiwa analysis tulivyo na mapungufu yetu upande wetu tu?!...Hata ufanyaje,huwezi kupata mtu aliyekamilika(perfect) hapa duniani!...
  NO HESHIMA kabisaa kwenye familia/ndoa kwa mambo ya kuendekeza mistresses!..
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Apr 14, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pole Mbu nilikusudia kumaanisha ........ baadhi yenu na sio wote. Nawithdraw sentence yangu ya kwanza.. au ndio justification ya baadhi yenu?
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145

  LET'S GO BACK TO BIBLE BELINDA MY DEAR!
  uzinzi hufanywa a watu wawili,lakini MWANAMKE NDIYE HUKAMATWA NA KUHUKUMIWA KWA UZINZI,tena anapigwa mawe hadi kufa!vp imekaaje hiyo?
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  :) sawa, imeeleweka.
   
 15. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mhh..Habari za mchana mama.
   
 16. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe hujatulia hata kidogo.
  Umenifanya nicheke sana,sikutarajia, umenipiga ngumi ya ghafla.
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  something you neva expected to hear?
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa wale ambao hamjagundua kama waume zenu hawana nyumba ndogo mtalipinga sana hili........lakini kwa wale walio zidiwa kete na nyumba ndogo wanajua madhara yake mapenzi ni kama mchezo wa kuigiza au kama maua yananyauka na kukauka...yakikauka mwanaume anatafuta alternative ya kujiliwaza mwanamke ukigundua inabidi ureflect back na ujupange upya ili umrudishe mzee katika himaya yako mzee akiamua kuhalalisha kabisa na kufunga ndoa hapo mchezo ndo unakuwa umekwisha na nyumba kubwa kunywea na kusubili huruma tu ya mzee.
  Akina mama jitahidini kujipanga na manjonjo mliyo kuwa mnapeana wkt wachumba ukiolewa usiyamwage bana mapenzi ubunifu utachukuliwa mme na watoto wadogo unajua wanavyo jua kubembeleza duh wanaume na nyumba ndogo zilizo humu zinajua bana weeeeeee acha tu unasahau mpaka home teh teh teh.
   
 19. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Inawezekana sijasoma kitabu gani kwenye bible kimeelezea hivyo,nitajie na chapters au verses nipitie kidogo.
  Kupigwa mawe hadi kufa imekaa vibaya,mateso kwakweli. Nikuulize, let say upo kwenye ndoa ukazini nje ya ndoa yako na kubaini mkeo kazini nje ya ndoa, je reaction yako itakuwaje? Talaka,mashindano zaidi na kuaibishana au ndo maisha kwa mazoea siku zipite tu?!!!!!
   
 20. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Inshalla! Mchana ni salama tu, naamini na wewe pia ndugu!
   
Loading...