juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Wadada wengi siku hizi wanazaa hovyo tu bila kuolewa.
Sasa wana kitabia cha kufanana sana wakishajifungua. Utakuta kutwa kupost picha za watoto wao Instagram, Facebook na hata profile picha za watsap inakuwa kazi kubadilisha picha za watoto wao tu, ukiona mdada anapost sana picha za mtoto wake mitandaoni ujue ni single mother huyo.
Huwezi kukuta picha za baba wa mtoto wake kamwe, wengine wanakera zaidi unakuta katoto kana wiki tu masikini kanapostiwa mitandaoni yaani ni dhambi tupu. Masingle maza jamani mliopo humu acheni ushamba ujue mnajichoresha sana?