Je nikimfanyia hivi kwake ni ujanja au ujinga..

Je nikimfanyia hivi kwake ni ujanja au ujinga..

Lakikunene

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
129
Reaction score
145
Habari zenu Wakuu..
Poleni na majukumu
Bila kupoteza muda nianze na kusema aliyekuwa mpenzi wangu wa takribani Mwaka Mmoja tuliachana yapita mwezi 1 sasa ..,

Kwa sababu za tabia yake ya kutokutulia na kuruka ruka na Michepuko hivyo nikaamua kuachana naye japo alilalamika sana pamoja na kukiri kosa lakini nilimsamehe kabisa..,,Hivyo nikaamua kumfanya kama rafiki japo alichonitendea hakikupaswa kusamehewa kirahisi ivyo ,,

Sasa tumekuwa marafiki wa kawaida tu na tunachati kawaida salamu za hapa na pale japokuwa siwezi kumuhitaji tena kwa sasa kutokana na kosa alilolifanyia Awali.,

HIVYO NAOMBENI USHAURI JE NI SAHIHI KUENDELEA KUCHATI NAYE JAPO ALINITENDEA UBAYA..,KAMA MARAFIKI KWA SASA.., AU NIMBLOCK KABISA MAANA PIA NIKIKUMBUKA YA NYUMA NAUMIA..,KIPI CHA KUFANYA MIMI KAMA MWANAUME AU KAMA KIJANA MWENZENU KWA HUYU BINTI....,,?????

USHAURI TAFADHALI
 
Piga chini ...takwimu inaonesha wanawake wapo wengi kuliko wanaume....

So tafuta mwingine huyo Si mkeo.
 
Tumia No Contact Rule
-No phone calls
–No text messaging
-No targeted status updates or social media posts directed at her
No no no no kila kitu.
 
Ndio kwanza Mwezi mmoja umetimia tangu mtengane.

Bado mapema sana kwa sasa kusema chochote.

Maana Mioyo inatofautiana, unaweza Kukaza baadae mwenyewe Ukalegeza
 
Ndio kwanza Mwezi mmoja umetimia tangu mtengane.

Bado mapema sana kwa sasa kusema chochote.

Maana Mioyo inatofautiana, unaweza Kukaza baadae mwenyewe Ukalegeza

Kivip mkuu hapo??
 
Maamuzi umeshayaharibu kwa kuendelea kuchat nae endelea tu kuchat nae hakuna shida si umeshamtoa moyoni
Huyu anaonekana bado anamhitaj
Anatafta njia ya kumrudisha

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Ww hujui kuacha sema
Unataka uachwe kama wanaume walikusaidia

kuweka mguu dirishan na
Bdo unachart nae ww
Mwambie tu bdo unampenda

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Achana kuumiza kichwa na swala , winda wengine! Huyo muache tu atume SMS zake ila usimpe support otherwise na wewe unampena!

Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app
 
Jinyonge!

Acha upoyoyo na porojo za kitoto.
Mapenzi na baada ya mapenzi maisha huendelea.

Japo, jiangalie sana maana ukiendelea kuchukua na kuacha mapema sana utaachwa kwenye nyumba ya pekee ya milele.
 
Back
Top Bottom