Mwanaume kuwa mmbea ni ushamba

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,465
Mwanaume na ndevu zake kutwa nzima kuanikiza udhaifu wa mpenz wake au mke wake ni ulimbukeni.
Hayo mambo ya umbea waachie watoto wa kike,nowdays unamkuta mwanaume na mindevu yake akimnanga binti wa watu mara kalio moja limepinda kushoto or anabwawa nk,acheni hizo mambo mbofumbofu
 
Mambo tuliyokuwa tunafanya watoto wa kike kama umbea na kusengenya, kubweteka bila kazi, kuolewa nk siku hizi wanaume baadhi ndio tumewaachia maana umbea ,kuolewa, utegemezi kwa wanaume (wavulana) ndio kumepamba moto kama sio kushika kasi ... Anga mnajitahidi ngoja tupige kazi wanawake .....
 
Mwanamme Mbea kwanza unakosa sifa ya kuitwa mwanamme, na ukiona mwanamme mmbea ujue alikua ana vitu vibaya alikua anafanya manake mwanamme kweli mwenye sifa za kiume hata kusikiliza hataki..
 
Hao wanaume wa hivyo mara nyingi wanakuwa sehemu ambazo ziko kandokando ya Bahari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom