saasita
Senior Member
- Aug 10, 2017
- 119
- 62
Hodi humu . Kama kichwa cha uzi kinavyosema ni ukweli usiofichika kua wanaume wengi wanapenda mteremko au ganda la ndizi wanaita utelezi . Wewe kama ni mwanamke na unamegeka kiurahisi ni dhahiri utakua na utitiri wa waombaji wa kazi . Kama wewe mtu wa kubana bana utaishia kuja humu jukwaani kutafuta mjegejo .
Ndio nimemaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nimemaliza
Sent using Jamii Forums mobile app