Ikitokea niko kwenye mkusanyiko wa watu, kisha wapo wanaume wengine nikiwepo mimi basi wengi wanakua hawajiamini, ni kama wanaogopa au wanakua inferior. Ni jambo la ajabu lakini nime li obverve...
Wakuu,
Ukitahiriwa kwa kiasi flani nguvu za kiume hupungua,mfano,kama ulikuwa unapiga bao tano basi utakuwa unaishia nne,
Ile radha halisi ya tendo hupote,je wajua govi hufanya livute utamu wa...
Mimi ni Mwanaume wa miaka 27 ,
Dini yangu, ni mkristo.
Naishi DAR
Kazi yangu ni muajiliwa
Elimu yangu ni DIPLOMA.
Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo ,
Awe mkristo
Awe anaishi Dar
Awe...
Hali zenu, SakoKwaBako!
Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.
Tatizo langu ni la saikolojia...
Kukosa ajira au kazi maalumu, matatizo ya kimahusiano na ya kifamilia ni hali ambazo mara nyingi huambatana na maumivu ya kihisia, kukata tamaa na msongo wa mawazo.
Hata humu ndani ya huu mtandao...
Wana jamvi habarini niko na mtihani sana na sijui kama nitafanyajeee kuna mmama ivi ana 36 years kuhusu maisha yuko poa yaaan ako vizur kiufupi anataka nimuoe na mm choka mbaya hali yangu sio...
Ilikuwa ni mwaka 2014 nipo facebook, nilipost picha yangu kwenye group la "tafuta marafiki na mchumba", kulikuwa na comment nyingi za mabinti, nikachagua mmoja ambae nimevutiwa nae kwa kuangalia...
Nipo hapa nje ya guest nimesimama kwakujifucha, mke wa jamaa angu aliingia ndani humu mda mrefu Sana . Saiv ndo anatoka Ila sijui nifanyaje.
Ipo hivi ... Toka zamani Sana Me nilikua nimesha amua...
Jana ya siku ninayotaka kuielezea alikuja ndugu yangu kwa lengo la kushauriana afanye nini kujikwamua kiuchumi.Hapo ni baada ya kuachwa na mwanaume aliyekua akimtegemea kwa kila kitu.
Wakati...
Doreen habari! Mimi nipo chuo mwaka wa 2 hapa dar.Kuna rafiki yangu amenidhulumu pesa yangu yani amenifanya nifanye mambo machafu ya aibu na hela amekimbia nayo simu yangu hapokei. Naomba...
Habari za mda huu wadau Hivi mwanamke anaweza kusoma chuo miaka mitatu vijana wa hovyo wasipite nae hili ni swali kutoka kwa mtu wangu wa karibu mwisho wa kunukuu
Wakuu!
Naomba ushauri wenu kwa hili jambo linalonisumbua kwa miaka kadhaa.
Ni zaidi ya miaka miwili sasa toka niachane na ex wangu, lakini bado namkumbuka sana. Kuna nyakati napitia picha zetu...
Ni vyakula gaini haswa ni vizuri kwa afya ya uzazi wa kiume?
Ulipo ona unawahi ku mwaga wazungu ulifanya ni nini kurekebisha na kupona ili tatizo?
Mwisho ni kweli kama umeweza kumfikisha...
Dalili za kuachwa au kwamba uhusiano unaelekea kuisha mara nyingi huanza kwa mabadiliko madogo ambayo huongezeka polepole. Hizi hapa ni dalili za kawaida zinazoashiria kuwa huenda mwenzi wako...
Kuna wanawake ambao wameumbwa na ujasiri wa kumtongoza mwanaume pindi wanapoona wamevutiwa na mwanaume huyo kimapemzi.
Mwanamke mwenye ujasiri wa namna hii huwa hasiti kumfuata mwanaume na...
Leo siwasalimii,,niende moja kwa moja kweny maada.
Siku chache zilizopita nilikuja na uzi hapa JF wa kutaka mnambie mbinu ili mrembo wangu aliyekuwa amegoma kuja ghetto kugegedwa,,
Nashukuru...
Heri ya nane nane wakuu
Ebana,nimepokea kesi moja hapa mezani kwangu ikimhusu jamaa yangu flani hivi.
Kesi yenyewe iko hivi,jamaa ameoa hawa totoz wa mjini na kamzalisha two kids za kiume.umri wa...
Wajomba kuna kijana wangu ana demu wake wameka miaka kama 3 hivi ola siku hizi jamaa kama kawa mwehu sababu ya demu
Imagine demu hataki mazoea kama zamani na mzigo hadi jamaa atoe hela ndio...
Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam
Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa...
Wanaume wenzangu kuna ubishi hapa?
Mbuzi kagoma kwenda, yaani baby mama anakuwa amepiga magoti huku amejibinua kidogo alooo πππ
Utamu wa hii style mwanamke awe na nyama laini (steki) vimbaumbau...