Habari za asubuhi wana MMU,
Natumaini wote wazima.
Asee kuna tabia imezuka ya wadada kuomba watumie vocha yani kidogo tu nitumie vocha. Sasa hii ni Kero kwa wanaume wanaojielewa,huwezi kuwa na...
Wakuu,
Nipo bar fulani naangalia taarifa ya habari huku napata na kisichana changu, sasa pembeni yangu amekaa jamaa na msichana wake msichana analia shida kichizi na mchizi anatoa hela, mi...
Inakuaje wadau,
Imekuwa kila nikimtafuna mwanamke awe ametulia au wale vicheche lazima mwisho wa siku atanimwagia sifa kibao kwamba napiga mashine vizuri pia bastola yangu ni tamu.
Mwanzo nikawa...
Wanawake wamekua wakipinga sana hii dhana ya mwanaume mashine kwa kudai kua mwanamke hahitaji mashine anahitaji matuzo.
Kipanya anauluza kua matunzo bila mashine hiyo nyumba itakalika kweli...
Mganga mmoja maarufu anayetokea Mkoa mmoja wa Kanda ya Ziwa ( jina lake linahifadhiwa ) ameibuka na kusema kuwa hakuna Kismati / Bahati ambayo Mwanaume anaweza kuipata kama angalau akijiwekea...
Sawa mlikuwa kwenye mahusiano na huyu mwanaume ikafika mahala kwa namna moja ama nyingine mkashindwa kuendeleza uhusiano huo,mnafikia kuachanaa.Jamaa huko kaanzisha mahusiano mengine na wewe uko...
Mwanaume anayejali feelings inanoga sana kuwa nae kwenye mahusiano, yaani mwanaume ambaye hawezi kuwa na amani kama wewe mke/mpenzi wake huna amani.
Mwanaume ambaye akikuona mwanamke unalia...
Wasalamu wana MMU.
Siku hizi kumekuwa na tabia ya walioko kwenye mahusiano kuweka mambo yao wazi kwenye mitandao ya kijamii hasa pale wanapotifautiana, yaani siku hizi hata haihitaji kufuatilia...
Nimekua nikipitia baadhi ya nyuzi humu MMU na kuona baadhi ya watu wakiomba ushauri wafanyeje kuepusha maswaibu yao yanayowakabili baada ya kuachana na wale waliokua wanawapenda, nikaona ataa...
Habari ya uzima,
Naomba niwasilishe hoja yangu kama ifuatavyo...
Nakumbuka nikiwa shule ya msingi darasa la sita ndipo yale masomo ya ukuaji wa binaadamu ndipo yalianza kuzungumzwa kwa upana...
Katika mahusiano wapenzi hufurahia kusikia maneno yasiyo umiza upande mmoja.Baadhi ya wanawake wakishagundua kuwa wanapendwa zaidi hutumia mwanya huo kutoa lugha ya command ili kutekelezewa...
Waungwana mwenzenu nimeoa miaka kama miatau iliyopita mi na bi mkubwa twapendana sana tu,ila mimi kwa upande wangu nahisi simtendei haki my wife coz tangu tuowane nimeshapiga kama madem watano(5)...
Habari za weekend wakuu siku kama tano zlizo pita nilileta habari ya kua mchepuko wangu anatishia kuniachia sasa tumeachana rasmi jana ijumaa baada ya kutoka job jioni ilikua hivi ilikua mida ya...
Habar wana jf!?
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili bila kupata majibu! Kuna statement flani hivi nilisikia mtu akimwambia mdada huwa naifikiria kila siku ila sipati majibu yake sahihi...
Hello friends, its my hope that you are doing fine and pushing forward your daily activities. Back to my side I AM NOT FINE AT ALL (the coming saturday) there...
kwangu hua naona ni kama mapambano makubwa sana, yaani unakaa kwenye kiti et kungojea hatima yako ya uzima na ufu? unakaa kwenye kiti ukisali sala zote ambazo hukuwai kuzisali hapo kabla, unaomba...
ukisikia hilo neno jua:
1- umewakana ndugu zako na unamtimizia yeye na nduguze
2- unachunwa kirahisi than wanaume wenzako
3 - anakupush uingie mfukoni zaidi
4--umeshakuwa fala wake
jiulize yeye...
Jamani Jamani Jamani hivi kuna ukweli hapa au ndo kufanya mtu ni poyoyo tena mtoto mdogo kabisa kiasi kwamba upeo wakufikiri ni mdogo sana!
Nihivi, eti wewe mwanaume ulimpa binti mimba! Kwa madai...