Mwanaume unawezaje kulala siku tatu na mwanamke bila kumgusa?

misstrace

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
649
1,483
Shosti yangu fulani aliniaga Wiki iliyopita anasafiri nje ya Mkoa, anamfwata shemeji yangu ambaye wameanza mahusiano miezi michache iliyopita.

Shosti alijiandaa akijua kule lazima Jamaa agonge muhuri maana hawajawahi tangu wajuane.

Leo kaja kunitembelea ndo kunijuza siku zote alizokuwa huko hakuna kilichofanyika, zaidi jamaa alikuwa anaishia kumkumbatia tu, siku ya mwisho kaamua kumtega na pichu tu jamaa kakausha ila dude unaona kabisa limeamka.

Nimebaki najiuliza inawezekana kweli kweli aliyekamilika akakuacha siku zote hizo bila kukugusa ? Au jamaa kuna kitu hakiko sawa ?
 
Huyo jamaa namsifu sana aisee.ni mwelewa kama mimi vile.Huwezi tumbukiza tu kata kwenye mtungi ambao hujui kama maji yake yako salama.anajijali sana.huyo shost wako nadhani kichwani zimepelea kidogo.Huyo mwanaume ki fikira yuko mbali sana na anajali afya yake .
 
Huyo jamaa namsifu sana aisee.ni mwelewa kama mimi vile.Huwezi tumbukiza tu kata kwenye mtungi ambao hujui kama maji yake yako salama.anajijali sana.huyo shost wako nadhani kichwani zimepelea kidogo.Huyo mwanaume ki fikira yuko mbali sana na anajali afya yake .
 
inawezekana vizuri tu.

mie kuna mdada alikuja gheto na anajua kafata mtanange kumvua pichu hataki, mara kufinywa na kukabwa nkaacha.

tukalala mpaka mornie, sina habari nae mpaka leo na ananitangaza(ga) mi hanithi.

wengine wana aibu kuomba mtanange, ama kuanzisha manjonjo. shosti yako nae boya tu alishindwa anzisha uchokozi mtanange upigwe. kaishia lala na pichu angeshika mic weka mdomoni asikie mrejesho
 
Uenda kulikua na moja ya haya matatizo.

1.shost wako kunuka mdomo.
2.shost wako kunuka makinikia
3.walijuana mtandaoni tuu siku walivyoonana huyu jibaba expectation zake hazikua sawa.
4.wewe ulimtia nuksi shosti wako.
5.aligegedwa ana kudanganya tuu
6.jibaba ni mwanachama mwandamizi wa chaputa
7.alikua anashindwa jinsi ya kumuomba shosti wako 0712
8.huyo mwanaume wa dar tuu huko mkoani ametembelea tuu.
9.huyo jibaba alitarajia first move ya shoga yako
10.jibaba ana super kibamia.
 
Ndiyo inawezekana, tatizo wanawake wanaamini kwa mwanaume ngono ni kila kitu kumbe siyo kweli matokeo yake wakikutana na watu exceptional ndiyo zinakuja kuanzishwa nyuzi.
 
Back
Top Bottom