pray for me dears!!

pray for me dears!!

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
75,520
Reaction score
185,654
Hello friends, its my hope that you are doing fine and pushing forward your daily activities. Back to my side I AM NOT FINE AT ALL (the coming saturday) there will be graduation university and Iam one among the graduants BUT IAM SUFFERING FROM AN EYE( something like jipu jichoni) AND IT MADE ME FEEL SAD because I paid all the costs and jipu started this week. I dont know how will it be with such a jipu on the reception! pls pray for me!!
 
Hello friends, its my hope that you are doing fine and pushing forward your daily activities. Back to my side I AM NOT FINE AT ALL (the coming saturday) there will be graduation ceremony at ST.Augustine university and Iam one among the graduants BUT IAM SUFFERING FROM AN EYE( something like jipu jichoni) AND IT MADE ME FEEL SAD because I paid all the costs and jipu started this week. I dont know how will it be with such a jipu on the reception! pls pray for me!!

Tayari hapo kaka washakutupia kijini, jisalimishe hara kwa watumishi wa Mungu wakuombee intensively
 
Mungu wetu ni mwema na hutupa yale tunayoyaomba kwa imani...Upone kwa jina la Yesu na uweze kwenda kuvaa joho kwani hiyo ni furaha ya kila mwanachuo.Amen
 
yaani dada hiyo isikuumize kichwa kabisa kwa kuwa mpaka hapo ulipo SHULE UMEMALIZA, na cheti chako kiko njiani...hayo ndio mambo ya msingi na ya maana yaliyokupeleka hapo chuoni au vp? wasiwasi wa nini shosti? tulia muombe Mwenyezi Mungu atakujaalia afya njema na utahudhuria graduation yako vzr tu...inshaallah!
 
Kumbe hujui jipu linaitwaje kwa kimombo? Nakuombea kwanza ujifunze lugha ndipo ntakuombea uponyaji. Funika macho yako huku ukiwa unamalizia kuandika password yako ya Mpesa na kuthibitisha malipo kwangu
 
Nimecheka lugha ulivoiweka hapa. Hivi unamsikia ngugi wa thiong'o
 
Nakupendaga,
Aende bana kajipu tu,
Nenda na ukajifotoe mapicha ya kutosha na jipu na tabasamu juu, usijali,
Jipu jambo dogo sana.
 
kijipu cha usoni huwa kinaitwa kisekenene kwa mujibu wa ushauri kutoka kwa mama yangu kuna njia mbili za kutibu ya kwanza Kila unapoamka asubuh kabla hujaongea na mtu yoyote cheka kwenye kinu hahahahahaha Ya pili kama ukishindwa ya kwanza nywea maji kwenye ungo kila asubuh siku tatu tu kitapotea kumbuka kama utachagua tiba mojawapo kati ya hizo mbili inatakiwa zifanyike kabla hujaongea na mtu yoyote asubuh inasaidia usiudharau ushauri wangu me pia niko udsm
 
Kachekee chooni ukiwa umeinama kwenye tundu lenyewe kataisha, ukiona mpaka siku yenyewe bado halijaisha vaa miwani
 
Unataka kuombewa kwa jina la Mungu yupi?
 
kijipu cha usoni huwa kinaitwa kisekenene kwa mujibu wa ushauri kutoka kwa mama yangu kuna njia mbili za kutibu ya kwanza Kila unapoamka asubuh kabla hujaongea na mtu yoyote cheka kwenye kinu hahahahahaha Ya pili kama ukishindwa ya kwanza nywea maji kwenye ungo kila asubuh siku tatu tu kitapotea kumbuka kama utachagua tiba mojawapo kati ya hizo mbili inatakiwa zifanyike kabla hujaongea na mtu yoyote asubuh inasaidia usiudharau ushauri wangu me pia niko udsm

Mie hyo ya ya kuchekea kwenye kinu bibi yangu alinifundisha na kwrli nilipona hicho kijipucha kwenye jicho.
Chezea imani ww
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom