Mlejesho kwa mchepuko alietishia kuniacha

sicam

Member
Joined
Aug 7, 2017
Posts
75
Reaction score
44
Habari za weekend wakuu siku kama tano zlizo pita nilileta habari ya kua mchepuko wangu anatishia kuniachia sasa tumeachana rasmi jana ijumaa baada ya kutoka job jioni ilikua hivi ilikua mida ya saa tano asubuhi ijumaa nimeibeba familia yangu yote ndani ya gari tunaelekea masjid mjini njiani nikakutana na huyo mchepuko sikujua alikua anatokea wapi sianaijua gari yangu akaipungia mkono kwa mbele mi siku simama ila aliona ndani nimebeba watu nilizima cm zangu zote harakaharaka kwa kujua atapigia cm kweli baada ya kutoka masjid nikawasha cm ile tu kusoma Halotel cm yake ndio ya kwanza akaanza kutoa maneno makali na matusi na kejeli kwa mke wangu nakaamua kumkatia cm na kuizima kabsa kuepusha usumbufu nakaiwasha jioni nikakuta sms ya kuachana mimi na yeye anasema nisimpigie simu nikome kabisa kama nilivyokoma kwenye ... Anashukuru kwa kupotezea muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho sio mlejesho
 
Hasira zake tu atakurudia tena yeye kakufuata kwa pesa zako..akiishiwa lazima akutafute...we mwenyewe mashine yake una i mind
 
Umepanga kutuchafua sio! Kwanza wewe sio mwislamu, mwislamu ni marufuku kujisifia madhambi anayoyatenda! Pia hiyo gari unayoisema ymenunuliwa kwani kwa akili zako hufai ata u house boy! Pumbavu.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka namba zake

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Mkuu si mnaruhusiwa mpaka wanne, kwanini usimchukue jumla tu
 
Habari za weekend wakuu siku kama tano zlizo pita nilileta habari ya kua mchepuko wangu anatishia kuniachia sasa tumeachana rasmi jana ijumaa baada ya kutoka job jioni ilikua hivi ilikua mida ya saa tano asubuhi ijumaa nimeibeba familia yangu yote ndani ya gari tunaelekea masjid mjini njiani nikakutana na huyo mchepuko sikujua alikua anatokea wapi sianaijua gari yangu akaipungia mkono kwa mbele mi siku simama ila aliona ndani nimebeba watu nilizima cm zangu zote harakaharaka kwa kujua atapigia cm kweli baada ya kutoka masjid nikawasha cm ile tu kusoma Halotel cm yake ndio ya kwanza akaanza kutoa maneno makali na matusi na kejeli kwa mke wangu nakaamua kumkatia cm na kuizima kabsa kuepusha usumbufu nakaiwasha jioni nikakuta sms ya kuachana mimi na yeye anasema nisimpigie simu nikome kabisa kama nilivyokoma kwenye ... Anashukuru kwa kupotezea muda

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unaona sifa kujitangaza kwamba wewe ni mzinifu,sikuelewi ujue.Huyo mkeo si kaingia choo cha kike,hasara tupu.Rudi kwa muumba wako ndugu,mwisho wa upuuzi huo ni kuambukizwa ukimwi na kwenda jehanam.Zinduka.

Au umetumwa na Shetani kufundisha wengine kuwa wazinifu kama wewe,maana sikuelewi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom