Pole dear mwanaume anaekutenda kila muda ujue hana mapenz ya kweli na ww anakutafutia sababu ili apate kukuacha ila usijal utapata ataekupenda kwa dhat mpenz wal usilie usimuwaze achana nae jipe utulivu wa nafs yako kwanza kila la kheri
Pole sana!!! Kama anakuumiza sana achana nae!!! Mapenzi furaha bwana... Anaekuumiza kila siku hakupendi huyoo!
Pole sana! Atakutia presha buree!Huwa nahisi labda nakosea, Labda nijishushe zaidi Ili tuelewane,lkini ni kma namfundisha chizi kusoma.....Kila Leo afadhali ya jana
Umenena mkuu!Wasichojua wanawake wengi ni kuwa Kwa wanyama mapenzi ni wakati wa kutiana mimba Ila Kwa binadamu mapenzi ni kufurahishana.
Sio kila uhusiano ni wa kuuchukulia serious, mwingine ni kwa ajili ya uzoefu.
Na sio kila uhusiano unaishia Kwenye ndoa
Pole Sana Jamani karibu utulizwe nafasi yako usahau shida ya kutendwa.Nalia tena, Siku kwangu imeenda
vibaya,
Naumizwa tena bila kukosea Chochote..
Naumia
Kujitoa kote na Uaminifu wote,umegeuka Majuto Leo kwangu...
Mapenzi mbona unaniumiza ivi....
Nifanye nini ili Nami niwe na furaha kama wezangu,Nicheke Na mwenza kama wezangu....Ooohh!!!
It Hurt's
Poleee Aminas piga moyo konde my poleeeNalia tena, Siku kwangu imeenda
vibaya,
Naumizwa tena bila kukosea Chochote..
Naumia
Kujitoa kote na Uaminifu wote,umegeuka Majuto Leo kwangu...
Mapenzi mbona unaniumiza ivi....
Nifanye nini ili Nami niwe na furaha kama wezangu,Nicheke Na mwenza kama wezangu....Ooohh!!!
It Hurt's
Hahahahaaaaa, mfariji mrembo buanaHumpi papa vzr