Kwanini wanawake wa siku hizi hawapendi kuvaa shanga?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Nimabahatika kupitia walio wengi (sijikwazi). Nilichokigundua ni kwamba wadada wa siku hizi huwa hawavai shanga kabisa.Yaani utamaduni wa kuvaa shanga kwao umetoweka kabisa. Nashindwa kujua kwanini shanga kwenu zimekuwa kama ukoma, hamutaki kabisa kuzisikia.

Sijui ni "usista doo" unaongezeka ama la? Au wengi wenu hamkupitia fundo za wazee?

Baada ya kuvaa shanga, utakuta mtu amevaa kikuku hadi kwenye "Nanihiu"...vichuma chuma kibao. Mpaka ukitoka hapo unaanza kujiuliza 'Hivi leo nilikuwa kwa fundi welding?' Maana si kwa vyuma vile yaani mwili mzima. Kuanzia Usoni, Puani, Shingoni, pale kati, hadi kwenye miguu. Vyuma kila pahala.

Jamani badilikeni, ondoeni vyuma weka 'shanga'. Nmatukosesha raha zetu.

3.jpg
2.jpg
3.jpg
 
Shanga ili iweje .... Sizipendi toka rohoni kwakweli ... old fashion toleo la mwisho kabisa ndio mimi sipendi makorokocho mwilini mwangu full stop.
 
Wanawake wasiku hizi mmepungukiwa na upendo kwa waume zenu.....ndio maana ndoa nyingi zinavunjika kama glass.
 
Nimabahatika kupitia walio wengi (sijikwazi). Nilichokigundua ni kwamba wadada wa siku hizi huwa hawavai shanga kabisa.Yaani utamaduni wa kuvaa shanga kwao umetoweka kabisa. Nashindwa kujua kwanini shanga kwenu zimekuwa kama ukoma, hamutaki kabisa kuzisikia.

Sijui ni "usista doo" unaongezeka ama la? Au wengi wenu hamkupitia fundo za wazee?

Baada ya kuvaa shanga, utakuta mtu amevaa kikuku hadi kwenye "Nanihiu"...vichuma chuma kibao. Mpaka ukitoka hapo unaanza kujiuliza 'Hivi leo nilikuwa kwa fundi welding?' Maana si kwa vyuma vile yaani mwili mzima. Kuanzia Usoni, Puani, Shingoni, pale kati, hadi kwenye miguu. Vyuma kila pahala.

Jamani badilikeni, ondoeni vyuma weka 'shanga'. Nmatukosesha raha zetu.

Sababu imegundilika kuwa wanaume wengi hawajui kuzitumia, sasa tuzivae za nini?
 
Usiniambie kuvaa shanga ndio kipimo cha upendo kabisa ... Wangapi wanazivaa na wanaenda kuonesha wanaume wengine?kwahiyo shanga ndio kisaidia ndoa kutovunjika? Ongea kwa mtazamo na upendo wako kwamba unapenda mwanamke avae shanga basi na ujue kuna wanaume wengine hawapendi mwanamke wake avae hizo shanga ... Hivyo basi shanga sio kipimo cha upendo wala kishikilia ndoa wewe tafuta sababu zingine tu
 
Sababu imegundilika kuwa wanaume wengi hawajui kuzitumia, sasa tuzivae za nini?

Inatokana na utamaduni wa wanawake kutovaa shanga kupotea. Na kupotea kwa utamaduni wa wanawake kuvaa shanga kumefanya baadhi ya wanaume (ambao pia ni wachache) kutojua namna ya kuzitumia.

utamaduni ukirudi na wanaume wengi walio mafundi wa hizi mambo wataongezeka.
 
Nimabahatika kupitia walio wengi (sijikwazi). Nilichokigundua ni kwamba wadada wa siku hizi huwa hawavai shanga kabisa.Yaani utamaduni wa kuvaa shanga kwao umetoweka kabisa. Nashindwa kujua kwanini shanga kwenu zimekuwa kama ukoma, hamutaki kabisa kuzisikia.

Sijui ni "usista doo" unaongezeka ama la? Au wengi wenu hamkupitia fundo za wazee?

Baada ya kuvaa shanga, utakuta mtu amevaa kikuku hadi kwenye "Nanihiu"...vichuma chuma kibao. Mpaka ukitoka hapo unaanza kujiuliza 'Hivi leo nilikuwa kwa fundi welding?' Maana si kwa vyuma vile yaani mwili mzima. Kuanzia Usoni, Puani, Shingoni, pale kati, hadi kwenye miguu. Vyuma kila pahala.

Jamani badilikeni, ondoeni vyuma weka 'shanga'. Nmatukosesha raha zetu.
Vaa na ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapaswa kutambua kuwa shanga si utamaduni wa makabila yote tanzania. Tafuta kabila lenye utamaduni huo ujisevie kwa raha zako. Usituambukize utamaduni ambao wapenzi wetu hawataki kuusikia.
 
Back
Top Bottom