cc12
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 1,018
- 397
Wakuu kwema,
Katika harakati zangu maisha sina vikubwa sana kiasi tu japo nafight bado nijenge na kuwa na kwangu biashara na kadhalika nina kaplot mjini, tayari sasa nina mpenzi tuna kama mwaka mmoja hivi.
Ila tatizo lake ni mbinafsi sana hela zake ni zake za kwangu ndo anataka nimpe atatulie matatizo yake wakati nikienda kwake mwanaume najikoka mara matunda majuice nini ili mradi nisiende mikono mitupu basi naondoka hata kupika hapiki naishia kunywa maji ila siku nikimwambia twende kutembea akishakunywa Bia ya kwanza ya pil mara nasikia njaa alafu anakunywa vinywaji vya bei alafu havilewishi mimi napiga chui chui zangu nne ndo mwisho lakini yeye atakunywa hata nane mbaya zaidi tunaenda sehemu expensive anazozijua yeye.
Juzi ndo komesha sasa nilitoka nae week baada kufanya mambo yangu fulani yakafanikiwa nikasema ngoja nikajipongeze nikamcheki mpenzi, nikamuambia tukutane sehemu fulani akaja tukanywa tukala nikasema hapana lazma nikalambe papuchi, kufika geust nampeleka za bei ya kawaida za twenty kurudi chini akifika anauliza kuna maji moto sijui Dstv nikamuliza hii ni gest au nyumba ya kupanga vuta mdogo nikaona isiwe shida nikamwambia chagua unayotaka. Tukapata moja ya 35 nikalipia alafu ilikuwa saa 9 usiku saa nne mlango unagongwa wanataka tutoke.
Nikaoga nikatoka nje nikamuacha nikapiga supu akaja nae akapiga sasa nikamdadisi kwanini unapenda vitu vya hadhi, akaniambia mapenzi yanatakiwa kufanya sehemu yenye hadhi nikaona isiwe tabu nikasepa sikumpa hata mia, nikakaa siku kama tatu namuazia bado akanipigia simu ananiambia babu yake anaumwa hivyo nawaita wajukuu wote anatakiwa kwenda Mbeya nikamuambia sawa safari njema akaniambia hana nauli nikamuliza hela zako unapelekaga wapi maana sijawahi kunywa hata soda au chakula chake alichonunua kwa pesa yake.
Cha ajabu simu yake hatak ishikwe yani mnaeza kugombana, sikumpa nikamwambia sina hela kwa kutumia kisingizio kua hela nimefanyia kazi fulani anajua nikajumlisha na outing maana karibu laki na 50 ilikatika watu wawili najiuliza maswali sipati jibu, huyu ananifaa kweli for the future sio kama age imeenda hapana ila nataka mpenzi nitakae jenga nae maisha.