Ni ukweli usiopingika kwamba katika hii dunia ya kitandawazi watu wameweka pesa Mbele sana huku wakiamini Pesa ni Kila kitu!
Lakini wanasahau kwamba mwishowe kila mtu duniani anatafuta...
Wakati mwingine bora uchapiwe kuliko kuachwa na mtu unayempenda kwa dhati,mmezoeana,mnakula pamoja,mnaoga pamoja nk
Usiombe haya mambo yakukute,ndani hapakaliki,kitandani hapalaliki na vile...
UHALISI WA MAISHA:
Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili...
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa.
Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha...
Mambo zenu wadau,
Ugumu unakuja pale unapokuwa na mwanamke ambaye ni #fundi_kwa_bed
Lakini ndugu zako wanamkataa wanakwambia huyo mwanamke hakufai;
1. Ana dharau
2. Hajui kupika
3. Hana adabu...
Habari wana-jf,
Kuna demu nilimtongoza mtandaoni na alikuja hadi home ninapoishi na kukaaa kwa muda wa mwenzi mmoja hatimae akaondoka na kivimbe tumboni(mimba).
Alirudi kwao Tanga, nilimshauri...
When a Lady is pregnant, ALL of the friends will touch her stomach and say CONGRATULATIONS.
But NONE of them will come and touch Man's penis and say WELL DONE.
Why?
Hello, I'm not sure if we are getting some visitors out of our Zone, I mean Out of East Africa there, I'm Mad confidential to Tell you that am an intermediate English learner i do lots of Things...
Wakuu ni Baada ya kudate na kibinti cha jirani na home sasa kila siku anataka pesa si chini ya 10000 nikimagine hali ilivyokaza kama kiuno cha fisi nachizi imekuwa kero sana mtu anaona hali halisi...
Leo siku nzima wimbo huu wa DOGO DITO - TUSHUKURU KWA YOTE, umekuwa unaring on my mind word by word.
Nikaona kweli kuna haja ya kumshukuru Mungu kwa wenzi wetu, whether ni mke, mume, mchumba...
Na utafeli, sio kana kwamba kuwa wa kipekee ni jambo baya, ila nimegundua binadamu daima huwaogopa watu wanaoonesha upekee.
Kwa sababu watu wanaoonesha upekee mara nyingi ni watu ambao wapo huru...
1. Don't beat her
2. Don't verbally abuse her
3. Don't disrespect her
4. Don't make her feel unloved
5. Don't Rape her
6. Don't cheat on her
7. Don't ignore her Love Languages.
Give her...
Habari zenu wadau,
Nimekuja kwenu mara nyingine, rafiki nimepata sasa natafuta mwanaume ambae atakua baba wa famiilia nitampenda na kumlinda, sifa zangu umri 25, mkristo, kazi nafanya kazi ya...
Nimeyakusanya maradhi ya malezi katika ulimi kwenye "Maneno Aina Kumi" yanavunja moyo watoto na yanawahamasisha kupotea, nayo ni kama yafuatayo:
KUTUKANA: Kwa kumpa mtoto sifa za wanyama...
Utafiti mpya uliofanywa Australia umeonesha kuwa wanawake wengi huvutiwa zaidi na wanaume wenye tabia ya kula mboga za majani kwa wingi.
Timu ya Watafiti kutoka Macquarie University, Australia...
Mjini wanakwambia, ukiona swala anatamba porini ujue ana kauhusiano fulani hivi na simba mmoja. Yaani kwamba anaweza akakatiza mbele ya simba wengine, au hata akaamua kula nyasi za walipozoea...
Kabla mtu hajaoa au kuolewa , huamini kabisa kwamba, kabla hajafanya mapenzi au tendo la ndoa na mtu anayemwita mpenzi wake, bado hawezi kudai kwamba, huyo mtu ni mpenzi wake na kwajibika kwake...
Binafsi nitangaze interest kuwa sijaoa, lakini pia nitoe angalizo kuwa situmii bandiko hili kujitangaza ingawa pia azuiliwi mtu (mdada) kujaribu "never know, it might be you...!
Anyway tuache...
Nilileta uzi hapa kwamba nilimchapa wife kibao katika mazingira ya utani tu na hasa pale wife aliponitania kunihusianisha na CUF ya Lipumba wakati mimi sina unasaba na Prof. Baada ya kibao kile...
Habari za majukumu wana JF,
Natafuta mwanamke aje kuwa mke kama tutaridhiana.
Sifa;
Elimu form4 au zaidi au ajue kusoma na kuandika
Maji ya kunde au mweupe kiasi
Mkristo
Umri 20-25
Awe hujawahi...