UTAFITI-Wanawake wanavutiwa na hii

UTAFITI-Wanawake wanavutiwa na hii

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Utafiti mpya uliofanywa Australia umeonesha kuwa wanawake wengi huvutiwa zaidi na wanaume wenye tabia ya kula mboga za majani kwa wingi.

Timu ya Watafiti kutoka Macquarie University, Australia wamebaini katika Utafiti wao kuwa wanaume ambao hutumia mboga za majani na matunda kwa wingi huwa na rangi nzuri ya ngozi, hunukia vizuri na wanakuwa na afya nzuri zaidi kuliko wanaume wanaokula vyakula vya wanga kwa wingi.

Watafiti hao pia wamebainisha kuwa wanaume ambao wanapenda kula nyama kwa wingi miili yao hutengezeka harufu nzito ambayo haijabainishwa kuwa ni nzuri au mbaya wakati wale wanaopenda kula vyakula vizito vya wanga hutoa harufu isiyo nzuri.
vegetables-660x400.jpg


Source:millard ayo
 
Mbona wazungu sasa wana kijiharufu flani hivi hakieleweki Ana wakija huku kwetu ndo wanakuwa hivi? Yaani harufu kama ya banda la kuku...utafiti huu niufanya mimi wautoe ktk media pia.......wanaume wa dar mnakula mboga mboga au ndo nyie mmeambiwa mna harufu nzito
 
mara six pack ,mara mchicha sijui matembele,Kitu ni pesa tu hayo mengine hata uwe na one pack (kitambi) utapendwa tu.
 
Back
Top Bottom