Wakati mwingine bora uchapiwe kuliko kuachwa na mtu unayempenda kwa dhati,mmezoeana,mnakula pamoja,mnaoga pamoja nk
Usiombe haya mambo yakukute,ndani hapakaliki,kitandani hapalaliki na vile perfume zake zinavyonukia chumbani unaweza kujikuta unazungukazunguka chumbani kama mlevi
Kuachwa kunauma sana