Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu (kinadada) najua imeandikwa sio vema kwa mwanamke au mwanaume kuishi peke yake maisha ya ukiwa ikiwa dunia Inawenza ambao mnaweza kushare kile kidogo mnachopata na kutengeneza paradiso ndogo...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Shalom shalom Wakuu, hebu tuweke uswazi pembeni leo tuambiane ukweli kama wanaume. Hili jambo la kugongewa limekua kama janga la kimya – halionekani, halisikiki lakini linatokea kila kona...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Vyovyote mtakavyosema. Tangazo, mtego n.k sijali. Nachojali ni hisia zangu na uhuru wa mawazo kwa mujibu wa Katiba na bila kuvunja Kanuni. Najua na wanaume wenzangu baadhi wataunga mkono wanaweza...
7 Reactions
77 Replies
3K Views
Baba ni baba tu Baba ni kichwa cha familia, na mama ni shingo katika familia. Kichwa kazi yake ni kuongoza, na shingo kazi yake ni kuzungusha kichwa kutazama kulia, kushoto, mbele na nyuma...
16 Reactions
78 Replies
2K Views
Mtag member unayemkubali na kutamani uwe karibu nae! Labda kama marafiki,wapenzi au mzee/mzazi wako Kwa upande wangu napenda kuwa karibu na member hawa Tate Mkuu Ponjoro wa Kinondoni Fanton Mahal...
9 Reactions
65 Replies
1K Views
First, let me declare kwamba mimi ni member wa muda mrefu humu JamiiForums na nimependa kuja nah hii ID mpya ili kuweza kuficha utambulisho wangu wa hapo mwanzo, ili kuepeuka mambo kadhaa kutoka...
322 Reactions
1K Replies
138K Views
Wakuu hii ni research yangu nimefanya. Hawa wadada wenye umri mkubwa kuanzia 25-40 wamekua vichomi sana kwa sisi wanaume marijali wao muda wote gubu,visirani na watu wenye ujuaji vibaya sana...
4 Reactions
10 Replies
781 Views
Wewe ndio uliemtoa kwao akiwa hana mwelekeo! Wewe ndio ulinunua kiwanja na kujenga Kwa mbinde na mikopo juu! Wewe ndio architect wa huo uchumi ambao ye anajivunia sasa! Lakini nyuma ya pazia...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Miezi ya June hadi September huwa hakuna Vimwana / Totooz kabisa ila miezi ya October hadi December na March hadi May huwa wanakuwepo wengi na hadi wengine wanaweza hata ' Kukukopa ' Mkuyenge na...
-1 Reactions
44 Replies
38K Views
Habarini za usiku JF members. Mke wangu kila akisikia sauti ya jamaa jirani yangu lazima atoke nje kwenda chooni. Kiukweli hii tabia inanikera. Sijataka kumwambia kwa sababu sina ushahidi wa...
10 Reactions
49 Replies
8K Views
Wasalamu wana MMU Mimi ni member wa jukwaa hili wa muda mrefu. Nimeamua kuja na ID hii mpya kwa ajili ya hili suala. Mimi ni kijana chini ya miaka 38. Nimeo ila ndoa yangu imeingia kwenye...
26 Reactions
240 Replies
12K Views
Huu msemo wa Mwalimu wa ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha, iko sahihi kabisa. Ukianza kula wake za watu huwezi kuacha. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilianza kula mke wa binamu yangu...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
guest-1787677352
Video inajieleza
2 Reactions
5 Replies
488 Views
Naamini wengi ni wazima na wachache mlio na shida M/Mungu awafanyie wepesi. Tunakumbushana tu vijana wenzangu kua "Kipindi cha neema ni kibaya sana kama huna moyo wa kuridhika katika mahitaji ya...
2 Reactions
3 Replies
533 Views
Wadau, Kama nilivyowasilisha mada yangu hapo awali: Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz na nikaahidi kutoa mrejesho wa mambo yatakavyokwenda. Naomba nichukue fursa hii kuwashukuru...
44 Reactions
175 Replies
25K Views
Wadau, Nahitaji mchango wa mawazo yenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kisa chenyewe ni hivi mimi ni diaspora ambaye nipo Korea kimasomo tangu November 2014. Mwezi Juni 2016 nahitimu...
25 Reactions
329 Replies
37K Views
Binafsi ni stori ndefu kidogo ila nitaifupisha. Mwaka 2004 baada ya kugraduate UDSM nilifanikiwa kuajiriwa katika shirika la umma na nikapangiwa mkoa mmojawapo wa nyanda za juu kusini. Baada ya...
39 Reactions
85 Replies
12K Views
wakuu kwema Naombeni msaada wa kimawazo Kuna mwanamke nampenda sana huu ni mwez wa 3 nipo nae kwenye mahusiano. Kabla sijaanza nae mahusiano niliwah kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya nyuma...
9 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari wana JF! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha? Mtu wangu alini-cheat nikamsamehe ame-cheat tena na sasa moyo wangu umechukia...
14 Reactions
216 Replies
17K Views
Naomba kuwaasa vijana wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI bado upo na ni hatari. Miezi 4 iliyopita nilifanya ujinga nikalala na mwanamke bila kutumia condom ama bila kumfanyia vipimo...
9 Reactions
115 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…