Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni binti wa miaka 24 elimu yang kidato cha 6, sina kazi naish tu home Dar es Salaam na wazazi wangu natafuta mchumba aje kuwa mume. Sifa; Aweze kunipenda Awe mcha Mungu Alietayari kuoa sio...
6 Reactions
39 Replies
6K Views
Jamani.... Nikiwa safari kuelekea Nairobi nilifanikiwa kuonana na mama mmoja Mchaga aliyefanikiwa sana. Ana hoteli Arusha, Moshi na pia ana export kahawa. Nilijiuliza sana huyu mama amewezaje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Binafsi nakumbuka miaka ya 2002 enzi hizo kutongoza bila kuambatanisha na ka barua basi unaona hujatongoza sawasawa maana njia kuu zilikuwa mbili hiyo au kutuma watu wa karibu kufikisha ujumbe...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Hali zenu Wana JF. Naomba kuuliza hasa wanawake wenzangu,ivi pindi mume wako anaposema Skukuu hii sina hela ya kukununulia nguo mpya ila Eid ilopita umepata nguo baada ya hapo ukaenda Holiday japo...
0 Reactions
70 Replies
4K Views
Out of curiosity... Would you ever pay someone to vent out your issues from let's say marriage, financial , family etc.. Huyu MTU sio therapist or psychiatrist so sio certified just a person who...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habarini zenu wanaJF, Poleni na pilika na mihangaiko ya maisha chini ya utawala wa baba Jesika. Nilopotea JF for about 6 months.NiliwaMiss sana ndugu. Straight to the point; mimi ni kijana...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Mojakwamoja Kwenye mada husika. imekuwa kawaida kwa baadhi ya akina dada wanapo wekeana mihadi ya kukutana namwisho wasiku wadada kupotelea kusiko julikana hii hali ilitokea sana kati yamika ya...
7 Reactions
61 Replies
5K Views
Habarini Wadau, Nilipokuwa mdogo nafikiri kati ya umri wa miaka 11 au 12 niliwahi kusikia mada kwenye Redio Tanzania ambapo mtangazaji mmoja aliuliza swali kuwa "Ni kwanini watu wengi wakiingia...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, Kuna kitu kinanitatiza, kufanya maamuzi maana naogopa fedhea maana tahadhari ni nzuri zaidi kuliko kukurupuka. Mimi ni mfanyabiashara wa muda mrefu kidogo..nina kama miaka...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi binafsi haijawahi kutokea,toka enzi za primary nilikuwa naombwa kwa ajili ya vibama,barafu nk,hivyo nilikuwa nadokoa home na kuwapa,ingawa tabia ya udokozi ilipelekea baba kuning'oa meno ya...
4 Reactions
67 Replies
9K Views
Jamani naombeni mnisaidie mwenzenu huyu mwanamke ni mapepo au mbona simuelewi Kuna msichana flani wa kichaga yapita kama mwaka mmoja na nusu niko nae kwenye mahusiano,sasa kilichonileta hapa ni...
5 Reactions
95 Replies
6K Views
Ni matumaini yangu mu wazima na jumamosi hii tulivu.Tatizo langu kwenye hii sekta ya mapenzi ni kuona nampoteza huyu mpenzi wangu niliyejua ndo atakuwa mke wangu.Tatizo hili limeibuka baada ya...
7 Reactions
68 Replies
7K Views
[emoji427]SWALI[emoji427] Quraan inasema "arrijaalu qawwaamuna ala nnisaa" je mume akishindwa majukumu ya nyumba mke afanye nini? Hayo yote ni majukumu ya mume: Chakula kodi ya nyumba ada ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, Kuna binti wa kilokole nilimpenda sana tukaishi katika mapenzi mwaka mmoja na nusu baada ya hapo akanigeuka akakata mawasiliano nilipomuuliza tatizo ni nini akajibu yuko busy...
18 Reactions
75 Replies
7K Views
Iko hivi, Enyi wadada, wengine mnajidhalilisha kupita kiasi. Kuna dada nimefahamiana naye mahali flani. Kweli nilivyomwona nilimwona ni mzuri sana kwa umbo, alafu ni mstaarabu (kwa hisia zangu...
12 Reactions
113 Replies
8K Views
Kwa jina ninaitwa BENJAMINI ELIAH ninahitaji mchumba ambaye atakuwa mke wangu sifa zake Awe mkristo, .Awe mweupe, Awe na umri kuanzia 18-25, Awe mvumilivu, urefu asizidi ft 5.2 Kwa taarifa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu nawasalim, Mimi na rafiki yangu fulani ambaye tumeivana nae kweli kwa mda, cha kushangaza rafiki yangu huyu alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada fulani hivi ambaye walitokea kupendana...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Niaje, Humu labda niendee moja kwa moja kwenye mada, na hivi kuna msichana flani nilitokea kumpenda na nikaamua kumtokea, kwa bahati mbaya au nzuri alinikataa, na kwakuwa nilikuwa bize sana...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Unakosa amani na furaha. Unaona kama vile kila kitu hakiendi hata ukiambiwa umeongezewa mshahara bado hautafurahi na wengi wamefeli masomo yao katika kipindi hiki. Lakini ukimkosea Mungu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…