Ramadhan Kareem!
Tumezoea kuona vinyambo kila siku juu yetu wanawake ....tena hata kwa mambo ya faragha.Mi binafsi niwe mkweli hata kama nina kasoro 100 but nikiwa faragha kwenye mambo yetu...
Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amekiri wazi kuwa na mchepuko nje ya ndoa miaka 8 iliyopita lakini amekana taarifa zinazosambaa nchini humo kuwa anawapenzi wengi huku akidai...
Wewe ambaye unafikiri being in an open relatioship ni kuwa na mpenzi mmoja uliyemtambulisha na anajulikana kwenu na mashoga zako uko wrong.
Maana yake ni Kuwa na mahusiano na mtu wako ambaye...
Habari wakuu,
Kuna binti mtaani jirani nilitokea kumpenda baada ya kumweleza nia yangu akadai ana mpenzi, niliendelea kumfatilia nikijua huwa sio watu wa kukubali kirahisi baada ya kuwasiliana...
Kuna mdada nampenda sana ila kila nikimuomba akubali kuwa mchumba wangu nije kumuoa ananizungusha tu.
Hakubali wala kukataa anasema nimpe mda atafakari huu mwaka wa pili ananiambia bado hajapata...
Happy blue Monday!
Kuna changamoto kubwa sana wakati mzazi mmoja(single parent) anapoingia kwenye mahusiano mapya. Baadhi hawafikirii welfare ya watoto walio nao na madhara watakayoyapata kama...
Mimi mwanamke hata awe mzuri vipi ile akinifunulia papuchi tu nikakuta kuna kamsitu basi hapo hamu yangu imeisha,nitafanya ili mradi tu yaishe niende nikaendelee na mambo yangu.
Je wewe mwanaJF...
Katika uchunguzi wangu binafsi nilioufanya nimegundua katika mahusiano wanaume wanapenda patashika. Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
1- Mapokezi mazuri
a) Baada ya kurejea kutoka kazini, safarini, au popote pale palipowatenganisha, anza kwa maamkizi mazuri.
b) Mpokee kwa uso mchangamfu
c) Jipambe na ujitie manukato...
Yoooo ,,habari zenu wana MMU?? Za siku nyingi waungwana?? Ok nisiwachoshe sana..Mimi mwenzenu kwa sasa nimeamua kutulia na mwanamke mmoja maana kurukaruka sio dili wala nini..hawa watoto watatu wa...
Nina ndoa ya miaka 5, nina watoto 2, mume wangu yuko mkoa mwingine kimasomo, namjua vizuri kunako majomboz hakurudi nyumbani kama miezi 3 au 4 hivi kutokana na ubusy wa chuo na pia pesa haikua...
Siku hizi kumekuwa na malalamiko mengi sana kwenye mahusiano ya mapenzi, wanaume wengi wamekuwa wakilalamika kuwa wanawake wengi siku hizi wanapenda sana pesa kuliko mtu, je ni sawa mwanaume...
Miongoni mwa makosa makubwa na sababu nyingi za ajali nyingi za magari private, ni kuupakia mchepuko wako Au kufanya mapenzi ndani ya gari yako.
Mumeo /mkeo/ watoto wakae kwenye gari hilohilo...
The time to recover after rupture is proportional to the time spent together as a couple.
Hivi theory hii ina ukweli wowote?
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Awe na Kiwango cha Juu Cha Elimu Kuanzia Master n.k
2. Awe na Gari Yake Mwenyewe
3. Awe na Nyumba Nzuri yake mwenyewe
4. Awe na Maamuzi yake Mwenyewe Asibabaishwe na Mtu
Halafu Apate...
Habar Zenu mabibi na mabwana,,, Labdaa niende moja kwa moja kwnyee madaa. N hv nmekua na tatizo la kuwadharau wanawakee kwa muda mrefuu. Nmekuwa nkiwaonaa kama watu ambao hawana mawazo chanya...